kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,060
Unafikiri manjagu wanaweza kukaa kimya bure tu,mahali wanapojua watu wanaingiza hela kwa njia haramu?Ukiona wanajua halafu wako kimya ujue.......jiongeze mkuu.Mitaani kuna mengi sana.Hayo makusanyo yanaenda kwa hap matembo na isitoshe polisi wanafahamu haya mambo lakin wamekaa kimya km unaweza kufanya tafiti nenda ubungo stendi ya magari ya mlandiz na mbezi kote uko kuna matembo,