TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

Watu wanajaribu kuelezea course ya murder ndo maana sikuelewa connection ya maelezo yako.

Mkuu kwa mtu aliyefariki kwa kupigwa na wananchi wenye hasira kali, na hayo niliyoyaeleza hupati connection yoyote?
 
Aisee! Sijui ni lini tutajifunza kuheshimu Uhai, watu wakisikia kelele za mwizi kitu cha kwanza wanachofikiria ni kuua!!

Hii itabia ifike kipindi ikome, watu wengi wanauwawa pasipo hatia!

R.I.P Mashali
Alafuu Hivyo vitendo Dar ndo vimeshamiri kupita kiasi,
 
Watanzania wapi hao unaowasemea hawawezi kuwavamia watu bila kuhoji ukweli wa mambo ? Hivi ni mara ya kwanza kwa matukio ya namna hii kutokea Tanzania ?

Wale watafiti waliochomwa moto Dodoma ni Wareno ndio waliwachoma ?

Tukio hili zima lina ukakasi ila usipende ku generalize mambo

How do you mean "Watanzania wapi ninao wasemea!!" Are you normal? kwanza majibu jibu yako yanadhilisha you're bellicose by default plus ka-element kau arrogance kwa mbali.

Mimi nimezungumzia taarifa iliyo sema Mashali alifuatwa ndani ya BAR wakamcharanga mapanga na rungu mpaka akapoteza maisha, soma vizuri kwanza nilicho andika sio unakurupuka tu na kujifanya bigger than your Head kwa kubeza watu bila ya ku digest kikicho andikwa kwanza.

Taarifa ingesema Mashali alivamiwa akiwa njiani au kwenye mtaa akasigiziwa wizi, hapo hakuna ujanja mara nyingi mob justice inatumika sana lakini sio kwenye BAR.
 
Haya matukio ya wananchi kujichukuliwa hatua yanasababishwa na vyombo vya usalama kutochukua hatua kuhusu matukio ya ujambazi na wizi. Nadhani wangekuwa wanachukuliwa hatu haya yangeisha au kupungua. Ukiibiwa ukaenda polisi utaishia kuambiwa lete hela ya karatasi, mafuta ya gari tumfuate muhusika, mara watajifanya wanafahamu utazunguka nao uwalishe na utawaachia pesa na ujue hakuna solution. Watu nadhani wamechoka wameamua kubuni njia ya kuwakomesha tu hakuna jinsi, nchi haina mwenyewe kama hamjagundua
 
How do you mean "Watanzania wapi ninao wasemea!!" Are you normal? kwanza majibu jibu yako yanadhilisha you're bellicose by default plus ka-element kau arrogance kwa mbali.

Mimi nimezungumzia taarifa iliyo sema Mashali alifuatwa ndani ya BAR wakamcharanga mapanga na rungu mpaka akapoteza maisha, soma vizuri kwanza nilicho andika sio unakurupuka tu na kujifanya bigger than your Head kwa kubeza watu bila ya ku digest kikicho andikwa kwanza.

Taarifa ingesema Mashali alivamiwa akiwa njiani au kwenye mtaa akasigiziwa wizi, hapo hakuna ujanja mara nyingi mob justice inatumika sana lakini sio kwenye BAR.
Wewe noana tutapelekana mbali ngoja niachane na wewe ,kauli hiyo ya Watanzania sio watu wa kufanya mambo bila kuhoji umetoa wewe ,Nakupa mfano wa Dodoma unakuja na maneno mengi na hicho sijui kingereza ili uonekane unajua sana sio ?

Inawezekana sipo normal ila tatizo sijui utauhakikishiaje uma wa jf kwamba mimi ni abdnormal halafu maajabu yenyewe wewe ni mwanaume

Sehemu moja ambayo nipo abnormal ni kwenye muwa una size iliyopitiliza sasa waambie watu ulijuaje
 
Why all this. You guys need to discuss the matter basing on the fact that kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumpiga au kummua mwenzie hata kama kamkosea unless its for self defence. Watanzania baadhi yao wanachukua sheria mkononi kuumiza na kuua wenzao eti kwa sababu wameshukiwa kuwa ni wezi au wachawi. Hii the so called mob justice is not justice at all. Angekuwa mwanao au mtoto wako ndo anapigwa na kuchomwa moto pengine mtu angefeel the pinch. I threfore agree with Yamakagashi's argument
 
Mkuu kama umefuatilia comments zangu hapo juu na huyo bwana wala hutashangaa kwanini tumefikia hapa mimi nimemwambia aache tu ku generalize mambo matokeo yake anaacha kujadili kilichopo mezani anaanza kejeli zake

Sasa mtu wa namna hiyo nimjibu vipi ?

Mpumbavu hujibiwa kwa upambavu tu sio zaidi ya hapo wala pungufu ya hapo
 
Wewe noana tutapelekana mbali ngoja niachane na wewe ,kauli hiyo ya Watanzania sio watu wa kufanya mambo bila kuhoji umetoa wewe ,Nakupa mfano wa Dodoma unakuja na maneno mengi na hicho sijui kingereza ili uonekane unajua sana sio ?

Inawezekana sipo normal ila tatizo sijui utauhakikishiaje uma wa jf kwamba mimi ni abdnormal halafu maajabu yenyewe wewe ni mwanaume

Sehemu moja ambayo nipo abnormal ni kwenye muwa una size iliyopitiliza sasa waambie watu ulijuaje

Far from it, soma kwanza nilikuwa nazugumzia mazingara yapi - hiyo ndiyo point yangu sio kwamba sijui tatizo la Mob Justice ya mitaani - lakini Mashali alikuwa kwenye Bar yenye walinzi, waudumu wa Bar na mmiliki wa Bar aingii akilini kwamba wanaweza kuruhusu kundi la watu waingie kwenye Bar wameshikiria mapanga, rungu na kumuua Mashali - kama majibu yangu yamekuwa a bit abbrasive basi samahani nilikasirika kidogo.
 
Bila samahani kilicho nishangaza ni hizo jazba ulizokuja nazo na accusations zisizo na maana sasa sijui physco analysis ulinifanyia lini nakuona sipo normal

Niliposema usi generalize mambo nilikuwa na maana ya kwamba ni Watanzania hao hao unaosema wanahoji mambo walitoa hukumu kwa kuwachoma moto watafiti Dodoma na kama wangejipa dakika moja ya kuhoji kama unavyosema basi na hakika wale watafiti wasingeuwawa

Hoja yangu ilikuwa kwenye kuhoji mambo na sio mazingira
 
Za chini chini huku mitaani ni kwamba huyo jamaa watu walikuwa wanamtafutia sababu tu aingie kwenye kumi na nane!Walishamchoka kwa matendo yake.
Huenda wanaume wa Dar ndio wameanza rasmi operesheni "tokomeza" kwa kuangusha tembo.Ila beware na revenge,manake huyo bwana alikuwa na makundi mengi ya wahuni,from Manzese,Tandale to Kimara.
Tahadhari ichukuliwe.
 
Mkuu inaonekana unajua kitu nyuma ya pazia tueleze...

Nikueleze mara ngapi Mkuu? Mbona ukituliza tu vizuri ' akili ' zako na ' zikatukuka ' ipasavyo hapo katika ' maelezo ' yangu tayari nimeshalifungua hilo pazia!
 
Japo adhabu aliyopewa hakustahili, ila jamaa alikua mkabaj, ukikutana nae usiku lazima akupukutishe ulivyo navyo... Nimeish nae mtaa mmoja manzese.
 
Za chini chini huku mitaani ni kwamba huyo jamaa watu walikuwa wanamtafutia sababu tu aingie kwenye kumi na nane!Walishamchoka kwa matendo yake.
Huenda wanaume wa Dar ndio wameanza rasmi operesheni "tokomeza" kwa kuangusha tembo.Ila beware na revenge,manake huyo bwana alikuwa na makundi mengi ya wahuni,from Manzese,Tandale to Kimara.
Tahadhari ichukuliwe.
Hii inaaza kuingia akilini mkuu ________ wale waliopigwa upper cut, chembe kidevu , 1'2 na kuchukuliwa S7 + iPhone 6 zao inawezekana wamefanya yao .
 
Back
Top Bottom