Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 310
- Thread starter
-
- #21
Mkuu kaa uchunguze usiseme tu one horse race mwaka huu juve kashinda kwa tofauti ya point 1 na mwaka juzi tofauti ya point chini ya 4 na uliona alivyokimbizwa na napoli sijui unamaanisha nini mkuuUkiamua kuiita hivyo inabidi uweke vigezo.
Hizo ligi za Ujerumani na Italy zimeitwa hivyo kwa sababu ni 1 horse race leagues.
Sasa kama EPL utaiita farmers league unatakiwa kuja na sababu.
Sijui unataka relevance ipi??? Af pia uandishi kwa kufanya comparison sion kama kuna dhambi au violation yoyote ya principle za ushahidi
Pia ndio maana nlisema ukipita kwenye socia media utaligundua hilo toka kwa fans mbali mbali l
Mkuu naona tunaenda kisiasa jibu lako sio sawa ila nafkiri unajua uzito wa uefa, na kama ingekuwa kawaida basi tungeona hizo rekodi zimevunjwa mara nying especially hii curently uefa ya 1992+Siyo kawaida, swali langu ni 3 na 9 ni sawa? Regardless ni league gani.
Mkuu kaa uchunguze usiseme tu one horse race mwaka huu juve kashinda kwa tofauti ya point 1 na mwaka juzi tofauti ya point chini ya 4 na uliona alivyokimbizwa na napoli sijui unamaanisha nini mkuu
Hajawahi ila my point ni kwamba jamaa anafanya makubwa lakini watu wanamu underate na kuwasifia wachezaji wengine ambao ni kawaida sanaTuachane na habari za washabiki wa EPL, tuje kwenye personal accolades kwa level ya FIFA na UEFA.
Jamaa alishawahi kuwa kwenye top 3 ya best player? Najua kuchukua hajawahi na hawezi.
Atalanta au inter mkuuKakimbizwa lakini kachukua.
Labda nikuulize swali, msimu ujao unatabiri nani atachukua Seria A?
Sas mkuu kama mtu kakimbizwa hadi mechi 2 za mwisho ndio zimeamua utasemaje one horse race au utasemaje ligi inatabirika mkuu??Kakimbizwa lakini kachukua.
Labda nikuulize swali, msimu ujao unatabiri nani atachukua Seria A?
Atalanta au inter mkuu
Kwaninj nishindwe mkuu betting ni maamuzi na kujiamin kuna mwamba alibet leicester atachukua ubingwa? Umesahau mkuuUnaweza kuweka hela kwa hizo timu kwamba zitachukua?
Kwaninj nishindwe mkuu betting ni maamuzi na kujiamin kuna mwamba alibet leicester atachukua ubingwa? Umesahau mkuu
Mluu nakubali lakini sio upinzani wa kiasi hichoop maana hata ulisema ivo huo msim mtu wa 3 alikua na poont 72 gap la point 15 bado tunarudi kule kule tu sawa sio one horse race ila ni team 2 tu ndio znashndanMwisho wa yote huwezi fananisha upinzani wa hizo ligi na Epl. Ni kweli Liverpool kwa msimu huu katangaza ubingwa mapema ila haimaanishi kua Epl ipo hovyo katika upinzani kiasi cha kufananisha na Bundesliga au Serie A. Man City ilimaliza na points 100 ila aliemfatia hakuachwa points nyingi 95+ points.
Mkuu nakuelewa shida unashindwa kutumia wise words km ukiw unamjenga mtu unakuw km unamuatack na kumpuuza na hamn binadam anakubal ivo so lazma nikuatack tu na mm mkuuMpaka hapa tukipofikia, naamini umeelewa ni nini ninachozungumzia.
Nina uhakika kama kuna cha kujifunza umejifunza na utaboresha aina yako ya uandishi na mifano ya kuchukua.
All the best.
Mkuu hizo team huwa zipo mkuu karibu kila ligi hata mbao c unaiona na bado imeshuka, achana na hiyo kuna team inaitwa Lecce imeshuka daraja lakini imemfunga Lazio na napoli na bado imemlazmisha draw juve na milan apo bado moto wa cagliari mkuu team zipo kama hizi kila leagueEpl baba lao mleta mada.... Watford kasuka daraja ila katoka na point kwa Spurs,Utd na mabngwa Uciifananshe na Bundeslga
Mkuu nakuelewa shida unashindwa kutumia wise words km ukiw unamjenga mtu unakuw km unamuatack na kumpuuza na hamn binadam anakubal ivo so lazma nikuatack tu na mm mkuu
Yani mkuu kuna baadhi ya vitu sielewi hata unataka nifanyaje? Ishu ya messi main point ni kuhusu kama anastahili kuwa G.O.A.T je ntajuaje ukweli bila comparison na wachezaji wengine ambao naona wanadeserve kuwa ma goatKila mwalimu ana mbinu zake za kufundisha, na I can bet, hiyo style itakujenga zaidi.
Kwa sababu kila ukitaka kuandika lazima utajitahidi kuangalia angle zote ambazo critics wanaweza kuleta hoja zao.
Nimesoma makala zako mbili, hii na ile ya Messi. Kwa mwandishi ambaye ni beginner naweza kusema uko vizuri.
Nimeona pia kuna tone fulani unatumia kama ya Edo, si mbaya. Nachokushauri ni kukwepa kutumia mifano ambayo mtu anaweza kuhamisha topic, badala ya kuzungumzia Thomas Muller, unajikuta watu wanazungumzia EPL.
EPL na hizo ligi zingine ni topic pana na inajitegemea.
Pia kwa mchezaji wa caliber ya Thomas Muller, siyo sahihi kumtaja mtu kama Lingard. Weka heavyweights kama ulivyofanya kwa KDB.
Otherwise, usichoke kufanya hii kitu, na sisi tutaendelea kuponda kama umeweka kitu ambacho sicho.
Yani mkuu kuna baadhi ya vitu sielewi hata unataka nifanyaje? Ishu ya messi main point ni kuhusu kama anastahili kuwa G.O.A.T je ntajuaje ukweli bila comparison na wachezaji wengine ambao naona wanadeserve kuwa ma goat
Mda mwingine shida huwa ni mtazamo tu pengine mawazo yako yamekariri aina fulani tu ya uchambuzi
Anyway nmekuelewa