Huyu ndio kambadilisha mtu dini? Dini gani sasa wameenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndio kambadilisha mtu dini? Dini gani sasa wameenda?
Anapata vyoteUkumbuke ni kutoka Moroco
SirudiRudi juu kausome Uzi
Kwenye Interview kasema hautotumia jina la Yakubu kwenye Jezi hivyo itabaki Thomas kama kawaida.Msimu ujao jezi mgongoni yakubu
Mshahara wake aseno nani atauchukua sasa maana mkataba unasoma thomas 😃😃😃
Hapana mkuu, huyo wa jina wangu...Yeye Muajemi/persia/iran,ni ex-muslim pia. Miaka mitatau ijayo ALISINA(MAKINGILIMA) UTACHOMWA MOTO NAKUAPIA BY alisina,,,kwa lugha ya kiswahili.Na wewe umetunga kitabu??!
MythProject nzuri sana hii kwenye ule mpango wa vatican kuichukua dini yao upya.
Mfumo dume ni sehemu ya mifumo ambayo wanadamu waliumbwa nayo, kukataa mfumo dume ni ushetwani.Punguzeni mifumo dume ndomana mnaua muda wote badala yakufikiri
Nammisi ngwair mwanamume kwa demu ni sawa na mfupa kwa fisi
Mnachekesha tako ndio uzuri
Sharing is caring ,my brother badilikeni ndomana mnauaMfumo dume ni sehemu ya mifumo ambayo wanadamu waliumbwa nayo, kukataa mfumo dume ni ushetwani.
Haki sawa ni zao la mafundisho potofu ya ibilisi na mawakala wake duniani.