Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

Lawama kwa nyerere zinasaidia nini kipindi hiki
Ili kujisahihisha yapasa kujua ulipokosea. Matatizo tuliyo nayo leo ya kiutawala (hivyo kimaendeleo) ni matokeo ya siasa mbovu na utawala wa hovyo wa JK Nyerere. Tukumbuke aliwahi kupewa jina la “Haambiliki”. Alijiaminisha kuwa yeye pekee ndiye alikuwa na uwezo na nia ya kuiongoza nchi kuondokana na aliowaita maadui watatu. Hakuvumilia maoni tofauti na yake. Aliwasweka ndani waliokuwa na udhubutu wa kumkosoa (Bibi Titi, Chipaka, Kamalisa et al). Kambona ilibidi akimbilie uhamishoni Uingereza. Jk akazungukwa na ‘machawa’ kama kina Kawawa ambao kazi yao kubwa ilikuwa ni mapambio ya kumsifu bwana mkubwa kwa kila aliloamua lifanyike. Kufikia miaka ya 80 uchumi wa nchi ukadorora kiasi kwamba watu walipanga misururu mirefu kujipatia mahitaji muhimu kama sukari, betri, viberiti nk. Itoshe tu kusema Nyrere alichangia moja kwa moja, na akiwa peke yake, kuiua nchi ilokuwa ikiitwa Tanganyika. Na leo utawala wa nchi na mapungufu yake yote vimejengwa juu ya msingi aloujenga na kuuacha Mwl Julius Kambarage Nyerere.
 
Ukisikia mtu anapinga UJAMAA ujue umekutana na mtu mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…