Thomson safaris: Sodoma na Gomola (This American company is so sick)

.

Natumaini wewe ni mtanzania pia, na ni mwafrika kwa ujumla. Sisi kama watanzania woote wa makabila mbalimbali na dini mbalimbali tunayo maadili na miiko yetu, mingine imeiandikwa kimaandishi( na kuwa sheria) mingine haijaandikwa lakini inarithishwa kutoka vizazi hadi vizazi. Pamoja na ukoloni uliopita,,,na huu ukoloni mamboleo wa sasa,,maadili na miiko hii yetu vimeendelea kufatwa na kuheshimiwa,,na hivi ndivyo tunavyoweza kujitofautisha na binadamu wengine wa mabara au nchi nyingine: USENGE NA USAGAJI HAUKUBALIKI NA HATUHITAJI MJADALA KWENYE HILO:

Zipo nchi na mabara mbalimbali wanakubaliana na mipango hiyo,,hatujawakataza,,,sisi hatukubaliani na uchafu huo,,sheria na miiko ya nchi imeaniasha hivyo:

Sidhani kama sheria za wafanyakazi zinaruhusu kufanya kazi kwenye mazingara hatarishi kama hayo ya kuona watu wa jinsia moja wakikumbatiana na kufunga ndoa,,effect kubwa utakayoipata ni ya kiakili,, binafsi nikiona hivyo nitarekodi kwa simu na kupeleka polisi ushahidi pamoja na kuwafungulia mashtaka kwa mujibu wa sheria.

Kuruhusu upumbavu kama huu kwa ajili ya pesa ni kumkosea Mola,,,hata hiyo Serengeti wanyama wataanza kupungua sababu ya laana kama hizo. Pia ni kuchochea utamaduni wa kigeni usio na manufaa yeyote kwa nchi yetu.

Fikiri:Fikiri:Fikiri: Acha utumwa wa kupenda kila kitu cha kigeni:
Am proudly tanzanian... Hili swala la ushoga, i dnt support it. Bt swala lakulaumu wazungu kutuletea laana becouz gay couples visit is jd nuts, crazy and absurd...
Its nt lyk hakuna watu kama hawa watanzania.. Nenda kwenye kumbi za taarabu utawakuta kibao. Na ushoga haukuanza jana tanzania. na ushoga haukuletwa na wazungu tz..
Am a lawyer, ila cjui hao watu utawashikaki kwa kosa gani.. Sheria ya tanzania inakataza same sex marriage.. Bt according to the post, he wanted to propose nt marry hm in serengeti. Na kama ulitaka kuwashitaki uwakamate kwenye tendo otherwise thr is no law to help u...
All am sayn kulaani kwa kusema watalii wazungu wanatuharibia maadili is crazy.... Kwani hawa mashoga wa tanzania ni Wasafi
 
I think you are unproud Tanzanian cheap lawyer: Sorry for my opinion:

- Unadhani ushoga uliletwa na nani humu Tanzania?
- Unadhani kwanini sheria inakata same sex marriage halafu iruhusu same sex marriage proposals?
- Ukiwa kama mwanasheria msomi,,unadhani kwanini huo ushoga unaoutaja umezagaa kwenye maeneo uliyoyataja( magomeni,,ilala na kwenye kumbi za taarabu)
- Why is it crazy and nuts kuwalaumu wazungu kwa kueneza na kutetea ushoga ndani ya jamii yetu? who else is interfering us kwenye moral ethics zetu,,,wachina?wajapan? waethiopia?

Mimi sio mwanasheria,,,lakini nikuhakikishie,,,nikiona kuna 'MAZINGARA' tu ya uchafu huo,,yaani kushikana mikono,,kubusiana,,kulishana nakadhalika,,nafahamu kabisa watu hao wanaweza kushtakiwa.

Kuruhusu watu wa aina hii ni kuchochea vitendo hivyo,,jambo ambalo ni hatari kwa maadili ya taifa:

Unataka tugeuke Taifa la aina gani wewe mwanasheria sijui wa chuo gani?
 
Nilihisi tangia mwanzoni sizungumzi na mtanzania mwenzangu,,,,ebu tuache tujadili matatizo yetu,,wewe endelea na wasungu wenzio. Nidhahiri uko well brainwashed na vitu vya kigeni: ETI ukienda magomeni au ilala utakuta mashoga kibao,,,so kwa sababu hiyo na Serengeti unataka kuwe na mashoga kibao,, unataka kuniaribia jumapili yangu tulivu
Acha kupoteza muda na mtu aliyeaminishwa kuwa wazungu ni miungu watu kila wanachofanya ni sahihi
 
There is no law inayokataza a gay or lesbian people kuingia tanzania... And swala la kuweka sheri kukataza gay people from tanzania is just absurd... Tourism is business, as long as they pay... Wat they do is non of our business, as long as they dnt do it in public.hao wafanyakazi wa hizo kampuni wanaokwazika, if they cnt handle it waache kazi.. U signed up for it. But seriously kuona two gay man togetha inakuaffect vp exactly... As long as u get ur pay check that they do is between them and God.
Am nt gay and i dnt support wat they do... Bt in ds case, its business. Labda kama kuja kwao kuna madhara mengi dt u hvnt mentioned. If so, please enlighten me

Madhara yapo na ni makubwa. Nafsi ya mwanadamu inapoingiwa na wazo ovu inanajisika and as a man thinketh so is he. Tunashauriwa kutoangalia programs chafu za tv, kuongea maneno machafu, nk ili tusinajisike na wala tusikwaze nafsi za wengine. Wazo la ushoga linapoingia kwenye ufahamu wa ndani linasomeka kama ombi la kuumba hali hiyo ktk maisha ya mhusika na jinsi mbegu inavyozidi kuota na kukua ndiyo mhusika anavyogeuka na kuyakubali mazingira ya ushoga. Wanafanya hivyo makusudi kuja kututia unajisi ili na sisi tuone ni kitu cha kawaida wala si kama wanahitaji usiri wowote; hiyo ni danganya toto tu.
 
I think you are unproud Tanzanian cheap lawyer: Sorry for my opinion:

- Unadhani ushoga uliletwa na nani humu Tanzania?
- Unadhani kwanini sheria inakata same sex marriage halafu iruhusu same sex marriage proposals?
- Ukiwa kama mwanasheria msomi,,unadhani kwanini huo ushoga unaoutaja umezagaa kwenye maeneo uliyoyataja( magomeni,,ilala na kwenye kumbi za taarabu)
- Why is it crazy and nuts kuwalaumu wazungu kwa kueneza na kutetea ushoga ndani ya jamii yetu? who else is interfering us kwenye moral ethics zetu,,,wachina?wajapan? waethiopia?

Mimi sio mwanasheria,,,lakini nikuhakikishie,,,nikiona kuna 'MAZINGARA' tu ya uchafu huo,,yaani kushikana mikono,,kubusiana,,kulishana nakadhalika,,nafahamu kabisa watu hao wanaweza kushtakiwa.

Kuruhusu watu wa aina hii ni kuchochea vitendo hivyo,,jambo ambalo ni hatari kwa maadili ya taifa:

Unataka tugeuke Taifa la aina gani wewe mwanasheria sijui wa chuo gani?
Ur opnion doesnt mean shit to me... It would only bother me if i thought u wr smart... Bt i dnt... So wateva.

As a matter of law ur argument ya watu kushikana and etc, does nt apply... Hakuna sheria inayokataza except wakutwe kwenye kile kitendo. Labda unitajie hiyo sheria yako inayokataza...
Swala la same sex marriage... May i remind u marriage is nt proposal.. Sheria haijataja proposal.. Imekataza marriage whch are two different contracts. So proposing doesnt make the act illegal.
Wat i find absurd is watu kublame hawa tourist waoenda serengeti ndo wana influence ushoga whle u already have gay ppl in ur society. Nakusema wanaleta laana.
Wat i ws asking hawa mashoga wa hapa tz ndo wazuri?
Dnt tell kwamba wazungu ndo wanainfluence wanaume wabinuke... Its nuts. Hao ni wanamatatizo yao.
Ndio wazungu wana campaigne for gay rights blah blah blah which is js nuts... Bt hao tourists wa serengeti kwani wakija wanafanya nini? They mind there own business.
The problem with human beings is that we always luk for sumone to blame. Anza kujiangalia wewe kwanza.
As a parent, a neighbour... Mwanao anavaa nguo fupi anageza mwambia asivae. Sio kukaa kulaumu influence ya wazungu.
Hawakulazimishi kuwageza, niwewe mwenyewe u choose to.. Its about choices.
Bt my stand iko pale pale, tourism is a business. Waje bt ushenzi wao wasifanye in public..
 
Wanaume wa Kitanzania kwanini wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Kama si ile tundu ni nini?
 
Mkuu......bahati mbaya umebahatika kuwaona au kuwasikia hao......lakini kukueleza kwa kifupi......magay na malesbian wanakuja sana safari na sio kitu cha kujificha siku hizi......wanawakwaza sana ma guide na wafanyakazi wa hayo makampuni......lakini ndio hivyo......safari imeuzwa hujui ni mgeni wa namna gani anakuja.....

kuna haja ya kuwa na sheria ya kudeal na haya mambo,sheria iwepo kabisa
 
Ur opnion doesnt mean shit to me... It would only bother me if i thought u wr smart... Bt i dnt... So wateva.

As a matter of law ur argument ya watu kushikana and etc, does nt apply... Hakuna sheria inayokataza except wakutwe kwenye kile kitendo. Labda unitajie hiyo sheria yako inayokataza...
Swala la same sex marriage... May i remind u marriage is nt proposal.. Sheria haijataja proposal.. Imekataza marriage whch are two different contracts. So proposing doesnt make the act illegal.
Wat i find absurd is watu kublame hawa tourist waoenda serengeti ndo wana influence ushoga whle u already have gay ppl in ur society. Nakusema wanaleta laana.
Wat i ws asking hawa mashoga wa hapa tz ndo wazuri?
Dnt tell kwamba wazungu ndo wanainfluence wanaume wabinuke... Its nuts. Hao ni wanamatatizo yao.
Ndio wazungu wana campaigne for gay rights blah blah blah which is js nuts... Bt hao tourists wa serengeti kwani wakija wanafanya nini? They mind there own business.
The problem with human beings is that we always luk for sumone to blame. Anza kujiangalia wewe kwanza.
As a parent, a neighbour... Mwanao anavaa nguo fupi anageza mwambia asivae. Sio kukaa kulaumu influence ya wazungu.
Hawakulazimishi kuwageza, niwewe mwenyewe u choose to.. Its about choices.
Bt my stand iko pale pale, tourism is a business. Waje bt ushenzi wao wasifanye in public..

Wape wape eeh vidonge vyao. Mishoga Tanzania kibao hakuna mkoa wasiokuwepo mpaka makanisani wapo, anaebisha a google "Soni father Cunningham" halafu aseme huyo ni mtalii au mchungaji alioleta mambo ya ushoga, tena bora ya hao wanaotaka kwenda kulawitiana wenyewe kwa wenyewe huko Serengeti, huyo father Cunningham alikuwa anawafanyia Watanzania, watoto wadogo tena kanisani. Mnaojidai kukemea ya Serengeti hatujaona hata mmoja wenu kuja humu kukemea hilo tulipoileta mada. Vipi?

Hapo sasa.
 
UNANIPIGIA MAKELELE NA KIINGEREZA CHAKO CHA SHULENI:

siwezi kukaa kubishana na wewe mwanafunzi,,you are highly brainwashed,,hujitambui ndo maana hauitambui jamii yako.
 
Mkuu,,kumbe na wewe upeo wako ni wa kiasi hiki,,,aisee..umekula viroba nini?
 
UNANIPIGIA MAKELELE NA KIINGEREZA CHAKO CHA SHULENI:

siwezi kukaa kubishana na wewe mwanafunzi,,you are highly brainwashed,,hujitambui ndo maana hauitambui jamii yako.

Nathani umeona argument yako haijajisoma.... Mimi niwakili msomi sio mwanafunzi.. Kama hunachakujlbu sema umeshindwa. Kalaleee. Tupa kuleeee
 
First of all am a gal... Secondly, huo ushoga kwani uliletwa na wazungu....Lets be real... Ukienda magomeni au ilala utakuta mashoga kibao... Naushoga haukuanza leo hapa tanzania. Na haukuanza na wazungu. Naomba tusiwe wanafiki... Swala la kuvaa vimini, in the 60's watu walikuwa wanavaa vimini... Uliza watu waliokuwepo enzi hizo.... Besides in the past africans walked around naked or half naked.. Plz stp blaming white people for all ur problems...

Good point. Ingawa si support gays, but u have made ur point.
 
Nathani umeona argument yako haijajisoma.... Mimi niwakili msomi sio mwanafunzi.. Kama hunachakujlbu sema umeshindwa. Kalaleee. Tupa kuleeee

Maswali yoote niliyokuuliza hapo juu,,haujajibu hata moja,,,unabaki kumwaga povu,,,sasa mimi niendelee kujadili nini na wewe mzungu..

Wakili msomi kiingereza cha kihuni,, acha kutoa povu...Jibu maswali yangu niliyokuuliza juu.

Ninyi ndo mawakili mnaotumika na makampuni ya wazungu kudhurumu watanzania:
 
Hiyo thread nahifahamu; Hoja yako ni ipi?

Unaona ajabu ya Watu kutaka kulawitiana Serengeti huoni ajabu na kukemea haya ya kanisani? Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Back
Top Bottom