Thomson safaris: Sodoma na Gomola (This American company is so sick)

Thomson safaris: Sodoma na Gomola (This American company is so sick)

Maswali yoote niliyokuuliza hapo juu,,haujajibu hata moja,,,unabaki kumwaga povu,,,sasa mimi niendelee kujadili nini na wewe mzungu..

Wakili msomi kiingereza cha kihuni,, acha kutoa povu...Jibu maswali yangu niliyokuuliza juu.

Ninyi ndo mawakili mnaotumika na makampuni ya wazungu kudhurumu watanzania:

Nimekujibu sema wewe si umeshindwa kusoma..
Just understand this, kusema wazungu wa serengeti ndo wanainfluence ushoga wakati we already have homosexuals in our society is absurd..
Wewe endelea kuadvocate what you want.. Which is absurd in my opnion.
I agree to disagree with you... U cant make me think otherwise.
Have fun... Am out
 
Unaona ajabu ya Watu kutaka kulawitiana Serengeti huoni ajabu na kukemea haya ya kanisani? Kwi kwi kwi teh teh teh.

Sijihusishi na makanisa au dini yeyote,,,nafuatilia vinavyonihusu: Serengeti ndo nyumbani,,so naongelea ninayoyafahamu. Kama wewe ni mwanakanisa na hayo yalikukera; endelea kupigania haki na ukweli: Usenge ni Usenge TU,,hata ukiufanya wapi.
 
Nimekujibu sema wewe si umeshindwa kusoma..
Just understand this, kusema wazungu wa serengeti ndo wanainfluence ushoga wakati we already have homosexuals in our society is absurd..
Wewe endelea kuadvocate what you want.. Which is absurd in my opnion.
I agree to disagree with you... U cant make me think otherwise.
Have fun... Am out

Wapi nimesema 'wazungu wa serengeti ndo wanainfluence ushoga'? Maoni ya katiba mpya yanatolewa sasa hivi,,wewe kwa nafasi yako kama mwanasheria nenda katoe maoni pale kwa Warioba kwamba Usenge uwe POA,,,then yatajadiliwa.Kwa Katiba ya sasa,,Usenge ni kosa kisheria.
 
Sijihusishi na makanisa au dini yeyote,,,nafuatilia vinavyonihusu: Serengeti ndo nyumbani,,so naongelea ninayoyafahamu. Kama wewe ni mwanakanisa na hayo yalikukera; endelea kupigania haki na ukweli: Usenge ni Usenge TU,,hata ukiufanya wapi.

Mbona hatujakuona kukemea tulipoileta mada ya father Cunningham ilhali unakiri kuwa hiyo thread unaijuwa. Kulikoni?

kemea na hawa basi, wapo Serengeti:
image.jpg
 
Wapi nimesema 'wazungu wa serengeti ndo wanainfluence ushoga'? Maoni ya katiba mpya yanatolewa sasa hivi,,wewe kwa nafasi yako kama mwanasheria nenda katoe maoni pale kwa Warioba kwamba Usenge uwe POA,,,then yatajadiliwa.Kwa Katiba ya sasa,,Usenge ni kosa kisheria.

I dont support homosexuality... Wewe itakuwa nimzito saaaaana kuelewa.. Ndo maana nimeona nikuache with your ignorance...
Kilazaa wewe
Hebusoma vizuri au tafuta mtu akusaidie.
 
Mbona hatujakuona kukemea tulipoileta mada ya father Cunningham ilhali unakiri kuwa hiyo thread unaijuwa. Kulikoni?

kemea na hawa basi, wapo Serengeti:
View attachment 81064

Mkuu hivyo sio viroba: Ni mataputapu umekunywa,,,sasa nikemee Simba dume na jike wakijizindua kwa sababu gani?

Mkuu samahani,,,nadhani tunatofautiana sana kimalezi,,kimaadili,,,sina shaka hata kwenye mambo mengineyo...so endelea kunywa mataputapu yako,,story ya mwaka 1960 nitakemea nini sasa?
 
I dont support homosexuality... Wewe itakuwa nimzito saaaaana kuelewa.. Ndo maana nimeona nikuache with your ignorance...
Kilazaa wewe
Hebusoma vizuri au tafuta mtu akusaidie.

Haya bwana,,,nenda kamtafute binti mwenzie mpunge upepo,,jumapili leo:

aaah Mwanasheria my black a**
 
kweli ushoga upo Tanzania lakini jamii inajaribu sana kuuepuka ingawa kuna vitu vingi vinavoendeleza huo ushoga,
Njia yoyote ya kuutangaza ushoga lazima ilaaniwe makanisani, utalii hata mitaani lazima upingwe kwa njia zote,
sehemu nyingi za mijini kama Dar es salaam, Tanga, Zanzibar na mikoa mengine, ushoga umekuwapo kwa muda, lakini sio mfano wa kueleza eti tuuwache ushoga uendelee, ingawa miji na mikoa ya mbali ushoga haukupewa nafasi katika jamii hizo, tatizo la kuuacha utamaduni wetu na kuanza kuushabikia utamaduni wa kizungu ndilo lililofanya na mikoa ya juu kuanza kuuendeleza ushoga,kwani wanaona mikoa ya pwani
Jamii za kiafrika hazina budi kuupiga vita sana utamaduni huu wa kizungu wa kuuendekeza ushoga na kila atakaefanya njia au nafasi ya kuundeleza basi jamii haina budi kumtenga
Watu wanapiga kelele Serengeti kupinga ushoga sio kuwa hakuna Tanzania ila wanajaribu kulaani na kuuzuia usiendelee kwenye maeneo mengine yaliyokuwa hayajaathirika na uchafu huo,
Hii yote ni ukosefu wa mila, tamaduni na desturi za kibiinadamu kwani ukiwa binaadamu kamili lazima utapinga laana hiyo ila kama una sehemu ya unyama kwenye akili yako hapo ndio huanza mambo ya kiajabu ajabu
Wazungu wengi hawana utamaduni wala mila, zamani huko ulaya ilikuwa aibu kwa mwanamke kuzaa bila ya kuolewa, lakini sasa hivi imekuwa kama ndio fasheni, Jee hao watoto watakuwa na utamaduni kweli?
Tukirudi nyumbani matatizo hayo nayo yameanza kuota mizizi, na pesa nayo inachukuwa nafasi yake,

Tunahitaji jamii yote wakubwa na wadogo kuikemea tabia hii, hata kama ipo kwenye jamii lakini hatuitaki iendelee
 
Mkuu hivyo sio viroba: Ni mataputapu umekunywa,,,sasa nikemee Simba dume na jike wakijizindua kwa sababu gani?

Mkuu samahani,,,nadhani tunatofautiana sana kimalezi,,kimaadili,,,sina shaka hata kwenye mambo mengineyo...so endelea kunywa mataputapu yako,,story ya mwaka 1960 nitakemea nini sasa?

Hata kuona huoni, kuna jike hapo? Sasa wewe unaeona kuna jike hapo umekunywa nini? Maji ya uzima?
 
kweli ushoga upo tanzania lakini jamii inajaribu sana kuuepuka ingawa kuna vitu vingi vinavoendeleza huo ushoga,
njia yoyote ya kuutangaza ushoga lazima ilaaniwe makanisani, utalii hata mitaani lazima upingwe kwa njia zote,
sehemu nyingi za mijini kama dar es salaam, tanga, zanzibar na mikoa mengine, ushoga umekuwapo kwa muda, lakini sio mfano wa kueleza eti tuuwache ushoga uendelee, ingawa miji na mikoa ya mbali ushoga haukupewa nafasi katika jamii hizo, tatizo la kuuacha utamaduni wetu na kuanza kuushabikia utamaduni wa kizungu ndilo lililofanya na mikoa ya juu kuanza kuuendeleza ushoga,kwani wanaona mikoa ya pwani
jamii za kiafrika hazina budi kuupiga vita sana utamaduni huu wa kizungu wa kuuendekeza ushoga na kila atakaefanya njia au nafasi ya kuundeleza basi jamii haina budi kumtenga
watu wanapiga kelele serengeti kupinga ushoga sio kuwa hakuna tanzania ila wanajaribu kulaani na kuuzuia usiendelee kwenye maeneo mengine yaliyokuwa hayajaathirika na uchafu huo,
hii yote ni ukosefu wa mila, tamaduni na desturi za kibiinadamu kwani ukiwa binaadamu kamili lazima utapinga laana hiyo ila kama una sehemu ya unyama kwenye akili yako hapo ndio huanza mambo ya kiajabu ajabu
wazungu wengi hawana utamaduni wala mila, zamani huko ulaya ilikuwa aibu kwa mwanamke kuzaa bila ya kuolewa, lakini sasa hivi imekuwa kama ndio fasheni, jee hao watoto watakuwa na utamaduni kweli?
Tukirudi nyumbani matatizo hayo nayo yameanza kuota mizizi, na pesa nayo inachukuwa nafasi yake,

tunahitaji jamii yote wakubwa na wadogo kuikemea tabia hii, hata kama ipo kwenye jamii lakini hatuitaki iendelee

ndugu masanja umenena,,tena kwa kiswahili fasaha kisichokuwa na chenga.
 
Sheria ipo,,sema inahitaji maboresho
alah! sikujua asante kwa taarifa ,yes ibadilishwe hawa pipo wataleta mambo ya hovyo huku kule kwa wenzetu kwenye nchi za kiislamu hvi vitu vinashghulikiwaa kwa namna sahhihi sana,pale airport kunakuwa na bango kaba yaani mtu ajue nia hio kitu ina amount to lawsuit,hivi kwa upande wa pili hawa watu wa TANAPA hawawezi kuweka mabango ya kuzuia hiyo kitu huko kwenye camps???
 
I think you are unproud Tanzanian cheap lawyer: Sorry for my opinion:

- Unadhani ushoga uliletwa na nani humu Tanzania?
- Unadhani kwanini sheria inakata same sex marriage halafu iruhusu same sex marriage proposals?
- Ukiwa kama mwanasheria msomi,,unadhani kwanini huo ushoga unaoutaja umezagaa kwenye maeneo uliyoyataja( magomeni,,ilala na kwenye kumbi za taarabu)
- Why is it crazy and nuts kuwalaumu wazungu kwa kueneza na kutetea ushoga ndani ya jamii yetu? who else is interfering us kwenye moral ethics zetu,,,wachina?wajapan? waethiopia?

Mimi sio mwanasheria,,,lakini nikuhakikishie,,,nikiona kuna 'MAZINGARA' tu ya uchafu huo,,yaani kushikana mikono,,kubusiana,,kulishana nakadhalika,,nafahamu kabisa watu hao wanaweza kushtakiwa.

Kuruhusu watu wa aina hii ni kuchochea vitendo hivyo,,jambo ambalo ni hatari kwa maadili ya taifa:

Unataka tugeuke Taifa la aina gani wewe mwanasheria sijui wa chuo gani?

Ushoga ulianza pwani zanzibar, mombasa, kifupi vitendo vya kishoga vililetwa na waarabu na ndio maana sodoma na gomora iko maeneo hayo hayo , maeneo ya mount sodom na dead sea
Wazungu wameiga tu..
Kaa humo
 
Mkuu hivyo sio viroba: Ni mataputapu umekunywa,,,sasa nikemee Simba dume na jike wakijizindua kwa sababu gani?

Mkuu samahani,,,nadhani tunatofautiana sana kimalezi,,kimaadili,,,sina shaka hata kwenye mambo mengineyo...so endelea kunywa mataputapu yako,,story ya mwaka 1960 nitakemea nini sasa?

Mkuu unamuona simba jike hapo?
 
Mkuu unamuona simba jike hapo?

Hakuna uthibitisho wa chini kama ni mwanamke au mwanamme: Wapo simba majike wanaoota shaded manes kama wanaume. Nahitaji kuendelea kumchunguza:
 
Hebu piteni pale kwenye kijiwe maarufu Shibam kilichopo magomeni muwatafute wakongwe wa pale wawape story za wanakijiwe,mtakuwa shocked!!!!narudia tena .........mtakuwa shocked!!!!!!!!
 
ikiwa wizi umeongezeka kwanini wananchi wanapiga kelel si tuache ndio maendeleo? ulaya kuna wizi nasi ili tuendelee tunahitaji wizi pia huo ndio ujinga wetu ohh
Hata ukiwaangalia hao mashoga basi utakuta akili zao haziko sawa, kwanini sie watanzania tuendeleze? jee nasi ni mataahira?
Sheria zipo zinazoukataa ushoga, wale wanaopinga sheria hakuna kwanini ukikutwa na mitambo ya gongo unashitakiwa wakati hukukutwa na gongo?
 
hiyo ishu uliosema hapo juu ni ya kawaida sana hasa ktk hii industry ya tourism kwa sababu lesbian au gays wanakuja sana ila kama ulivyosema hawa wanaomiliki makampuni huwa wanawalinda sana kwa kuwapa briefing mbovu kama walivyoanisha hapo juu kuwa watanzania ni primitive bado tupo kwenye stone age kwa hiyo hatujui mambo yanaendaje ulimwenguni,ila kwa kuwa ni biashara huria hakuna wakuwazuia tatizo ni huyo mtu anayefanya nae mawasiliano kutumia mbinu ya kututukana sisi watanzania ili aweze kuwin biashara yake hiyo haikubaliki japokuwa hatujaendelea kama wao lakini wasitumae umaskini wetu kutudhalilisha,THOMSON SAFARI IS ONE OF RESPECTABLE TOUR COMPANY LAKINI KWA HAPO WAMEANGUKA.
 
There is no law inayokataza a gay or lesbian people kuingia tanzania... And swala la kuweka sheri kukataza gay people from tanzania is just absurd... Tourism is business, as long as they pay... Wat they do is non of our business, as long as they dnt do it in public.hao wafanyakazi wa hizo kampuni wanaokwazika, if they cnt handle it waache kazi.. U signed up for it. But seriously kuona two gay man togetha inakuaffect vp exactly... As long as u get ur pay check that they do is between them and God.
Am nt gay and i dnt support wat they do... Bt in ds case, its business. Labda kama kuja kwao kuna madhara mengi dt u hvnt mentioned. If so, please enlighten me

member since dec 2012 post 21. gender male (ila nashangaa umesema we ni mwanamke!!!??? Mhhhh sio bure
 
Back
Top Bottom