Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
member since dec 2012 post 21. gender male (ila nashangaa umesema we ni mwanamke!!!??? Mhhhh sio bure
Dada Preta, sijakataa kama watu wa aina hiyo wanakuja,,,swala ninalolitafakari hapa ni 'moral ethics' za haya makampuni ya kigeni.. Sababu wanavunja sheria makusudi,,then wanasema haya,,'' I know that this is a culture where people still believe in witch doctors, and education often stops after 3[SUP]rd[/SUP] or 4[SUP]th[/SUP] grade. I think it is a much safer bet that we carry on as we have done with so many past gay Thomson guests.''.
Wanatakiwa waheshimu tamaduni zetu,,na sio kutubeza kwamba tunaamini kwenye witch doctors,,na elimu zetu ni za darasa la 3 na la nne. Hawa ni matapeli wa kimarekani ambao hawajali utu wa mtu wala nchi wanayofanya biashara.Imagine wewe ndo huyo tour guide unawapeleka majamaa katikati ya serengeti kufanya uchafu huo,,,hata kama ni kazi,,,utu uko wapi? si waende kwao huko sheria zinaporuhusu madudu hayo,,sababu ya kuja kuleta laana huku ni nini?
Nikikaona hako kadada kalichoandika hivyo,,kweli kabisa naweza nikakatandika japo tuvibao vinne tu
hiyo ishu uliosema hapo juu ni ya kawaida sana hasa ktk hii industry ya tourism kwa sababu lesbian au gays wanakuja sana ila kama ulivyosema hawa wanaomiliki makampuni huwa wanawalinda sana kwa kuwapa briefing mbovu kama walivyoanisha hapo juu kuwa watanzania ni primitive bado tupo kwenye stone age kwa hiyo hatujui mambo yanaendaje ulimwenguni,ila kwa kuwa ni biashara huria hakuna wakuwazuia tatizo ni huyo mtu anayefanya nae mawasiliano kutumia mbinu ya kututukana sisi watanzania ili aweze kuwin biashara yake hiyo haikubaliki japokuwa hatujaendelea kama wao lakini wasitumae umaskini wetu kutudhalilisha,THOMSON SAFARI IS ONE OF RESPECTABLE TOUR COMPANY LAKINI KWA HAPO WAMEANGUKA.
Umeona eeh,,halafu yuko so sensitive na mada hii,,,anatia shaka fulani hivi