Dada Preta, sijakataa kama watu wa aina hiyo wanakuja,,,swala ninalolitafakari hapa ni 'moral ethics' za haya makampuni ya kigeni.. Sababu wanavunja sheria makusudi,,then wanasema haya,,'' I know that this is a culture where people still believe in witch doctors, and education often stops after 3[SUP]rd[/SUP] or 4[SUP]th[/SUP] grade. I think it is a much safer bet that we carry on as we have done with so many past gay Thomson guests.''.
Wanatakiwa waheshimu tamaduni zetu,,na sio kutubeza kwamba tunaamini kwenye witch doctors,,na elimu zetu ni za darasa la 3 na la nne. Hawa ni matapeli wa kimarekani ambao hawajali utu wa mtu wala nchi wanayofanya biashara.Imagine wewe ndo huyo tour guide unawapeleka majamaa katikati ya serengeti kufanya uchafu huo,,,hata kama ni kazi,,,utu uko wapi? si waende kwao huko sheria zinaporuhusu madudu hayo,,sababu ya kuja kuleta laana huku ni nini?
Nikikaona hako kadada kalichoandika hivyo,,kweli kabisa naweza nikakatandika japo tuvibao vinne tu