Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nchi inaongozwa na wahuni,,wameamua kumpaka matope huyu mamaTumefeli big down, ni hatari sana kufanya haya.
Ona shetani jingine jinga, hili hapa!!Weka ndani wahuni hao.Panya road.
wale wazee siyo gen z na hata lugha zao zimekosa staha.Kenya Gen Z Wameshatembelea ubalozi wa Tanzania jioni ya leo
Ni hatari kwa wajinga kama wewe.Tumefeli big down, ni hatari sana kufanya haya.
Unasumbuliwa na mapepo tu. Mapepo matusi na mapepo majalala yanakutesa namna hii.Ni hatari kwa wajinga kama wewe.
there is no escape routes for criminals and puppets within the country 🐒THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda Wanashikiliwa Kituo cha Kati
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam.
Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, ambapo katika taarifa yake THRDC inaeleza Mwangi anatuhumiwa kuingia nchini kwa kutoa taarifa za uongo.
Chama cha Mawakili Tanganyika, Chama cha Mawakili Afrika Mashariki na THRDC ni sehemu ya mawakili wanaofuatilia suala hili. Mwangi ni mmoja ya wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu mashuhuri zaidi barani Afrika, anafahamika kwa kuwasemea watu wanaoonewa na kukandamizwa haki zao.
Ndiyo hekima hiyo. Na kuwashikilia kunawashitua wengi kufatilia hii kesi zaidi kwa mtazamo wa ukakasi Sababu inatengeneza maswali mengi sana.Warudishwe kwao ili mambo yasiwe mengi
Haki za binadamu zipatikane kwanza kwao kenya,wakenya ni vibaraka wa nchi za magharibi na hawataki ukombozi wa bara la Afrika kwa ubepari wao.Tumefeli big down, ni hatari sana kufanya haya.
Je kwao ni kusafi?mbona ardhi nchi kwao inashikiriwa na makabaila kwa 15% wakati waliowengi hawana ardhi kwani wasiwateteee??Ndiyo hekima hiyo. Na kuwashikilia kunawashitua wengi kufatilia hii kesi zaidi kwa mtazamo wa ukakasi Sababu inatengeneza maswali mengi sana.
Wale mabalozi mbon hamuwasemi.Haki za binadamu zipatikane kwanza kwao kenya,wakenya ni vibaraka wa nchi za magharibi na hawataki ukombozi wa bara la Afrika kwa ubepari wao.