PreGE2025 THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda wanashikiliwa na Jeshi La Polisi

PreGE2025 THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda wanashikiliwa na Jeshi La Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Je kwao ni kusafi?mbona ardhi nchi kwao inashikiriwa na makabaila kwa 15% wakati waliowengi hawana ardhi kwani wasiwateteee??
Fatilia vizuri. Ardhi ya Kenya aipolwi hovyo mtu akimiliki kihalali uwezi pora Kama kwetu huku. Alafu mmoja ni mkenya na mwingine ni mganda.
 
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam.

Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, ambapo katika taarifa yake THRDC inaeleza Mwangi anatuhumiwa kuingia nchini kwa kutoa taarifa za uongo.

Chama cha Mawakili Tanganyika, Chama cha Mawakili Afrika Mashariki na THRDC ni sehemu ya mawakili wanaofuatilia suala hili. Mwangi ni mmoja ya wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu mashuhuri zaidi barani Afrika, anafahamika kwa kuwasemea watu wanaoonewa na kukandamizwa haki zao.
 
Samia anazidi kujiandalia ajali ya kisiasa halafu wanaomjaza upepo wanachekea chooni
 
Je kwao ni kusafi?mbona ardhi nchi kwao inashikiriwa na makabaila kwa 15% wakati waliowengi hawana ardhi kwani wasiwateteee??
Hoja ya kijinga hii, kwa kuwa kwao sio kusafi ndio na wewe upachafue kwako?

Nyie mmepigwa upofu muwe mnafanya mambo hovyo tu, hizi huwa dalili za anguko, endeleeni kushupaza shingo.
 
THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda Wanashikiliwa Kituo cha Kati

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam.

Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, ambapo katika taarifa yake THRDC inaeleza Mwangi anatuhumiwa kuingia nchini kwa kutoa taarifa za uongo.

Chama cha Mawakili Tanganyika, Chama cha Mawakili Afrika Mashariki na THRDC ni sehemu ya mawakili wanaofuatilia suala hili. Mwangi ni mmoja ya wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu mashuhuri zaidi barani Afrika, anafahamika kwa kuwasemea watu wanaoonewa na kukandamizwa haki zao.

1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.

Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?

Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.

HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.

Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is also bad for the gunners!
 
Kwa utaratibu huu watanzania tukienda nchi nyingine tukadhulumiwa sidhani kama tutalaumu. Nahisi tutakuwa tumevuna tulichopanda. Wanaita Karma
 
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam.

Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, ambapo katika taarifa yake THRDC inaeleza Mwangi anatuhumiwa kuingia nchini kwa kutoa taarifa za uongo.

Chama cha Mawakili Tanganyika, Chama cha Mawakili Afrika Mashariki na THRDC ni sehemu ya mawakili wanaofuatilia suala hili. Mwangi ni mmoja ya wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu mashuhuri zaidi barani Afrika, anafahamika kwa kuwasemea watu wanaoonewa na kukandamizwa haki zao.

Matukio haya ya Uhalifu mbaya Sana ya Utekaji Watu, kuwatesa, kuwabaka, kuwalawiti, kumwagia tindikali, kuwapoteza, na hata wakati mwingine kuwaua ni uhalifu mbaya dhidi ya binadamu yanakidhi Vigezo vya Kimataifa vya Watawala kuweza kushitakiwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu wa Binadamu ya ICC. Nashangaa Watawala wenyewe Wala hata hawajali Wala kushituka kuhusiana na suala hili.

Na mbaya zaidi sana, hata Mkuu wa nchi yeye mwenyewe binafsi anakiri hadharani kwa kutoa hotuba ambazo zinaunga mkono moja kwa moja uhalifu huo. Kitendo hicho ni kujenga Ushahidi na Uthibitisho strong kabisa usioacha hata chembe ya shaka ya kuweza kuthibitisha Ukweli kuhusu kuhusika na Uhalifu huo endapo kama Kesi ya Jinai itafunguliwa kwenye Mahakama hiyo ya ICC. Mkuu wa nchi yeye mwenyewe anajitengenezea Ushahidi wa kuhusika na uhalifu huo mbele ya Mahakama ya ICC. Hotuba mbaya Sana na chafu wanazotoa hadharani zipo zinabaki kama kumbukumbu za kudumu kwenye mitandao. Mitandao inatunza kumbukumbu hizo za hotuba zao wanazotoa za "watovu wa adabu "

ANGALIZO KUBWA SANA ni kwamba, endapo kama Mahakama ya ICC itatoa Arrest Warrant ya Kimataifa dhidi ya Watawala wetu, basi Watawala hao wasije wakalalanika kwamba Mahakama hiyo ya ICC inawalenga Viongozi wa Serikali wa kutoka katika nchi za kiAfrika tu peke yake. UHALIFU mbaya na Makosa yao binafsi daima huwa ndio chanzo kikuu Cha Watawala wa nchi za kiAfrika kulengwa zaidi na Mahakama hiyo ya ICC.
 
Back
Top Bottom