Fatilia vizuri. Ardhi ya Kenya aipolwi hovyo mtu akimiliki kihalali uwezi pora Kama kwetu huku. Alafu mmoja ni mkenya na mwingine ni mganda.Je kwao ni kusafi?mbona ardhi nchi kwao inashikiriwa na makabaila kwa 15% wakati waliowengi hawana ardhi kwani wasiwateteee??
Routes comradethere is no escape roots for criminals and puppets within the country 🐒
Tambua njiti moja ya kibiriti huweza kuteketeza msituWeka ndani wahuni hao.Panya road.
well done comrade 💪👊Routes comrade
Wahuninwa kuwekwa ndani wako magogoniWeka ndani wahuni hao.Panya road.
Vizuri sana. Ili mzozo upanuke zaidi Afrika mashariki yote.Weka ndani wahuni hao.Panya road.
Hoja ya kijinga hii, kwa kuwa kwao sio kusafi ndio na wewe upachafue kwako?Je kwao ni kusafi?mbona ardhi nchi kwao inashikiriwa na makabaila kwa 15% wakati waliowengi hawana ardhi kwani wasiwateteee??
THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda Wanashikiliwa Kituo cha Kati
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam.
Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, ambapo katika taarifa yake THRDC inaeleza Mwangi anatuhumiwa kuingia nchini kwa kutoa taarifa za uongo.
Chama cha Mawakili Tanganyika, Chama cha Mawakili Afrika Mashariki na THRDC ni sehemu ya mawakili wanaofuatilia suala hili. Mwangi ni mmoja ya wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu mashuhuri zaidi barani Afrika, anafahamika kwa kuwasemea watu wanaoonewa na kukandamizwa haki zao.
Mna akili sana nyie.Funga kabisa hao wajinga
Hawa watawala aka watesi hawana akili na busara hiyo.Warudishwe kwao ili mambo yasiwe mengi