Nna imani bro Chris atarekebisha yote na mtaanza upya mahusiano yasiyoumiza...kuna mahusiano mengine unabaki nayo hata kama yanakuumiza ili tu usidhalilike mkija kuachana.
We acha ty
Wauweeeeeeeeeeehhhπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έ!Nampentaaa shemeji yako nina wivu balaa, tusije gombana bure mwaya π€£π€£π€£
Hapo mbona sijasemaaa? Ngoja mwaka uanze niwape story kamili, bonge moja la love story ya muda wote kutokea JF.
Na huko ndio nitamtag mumjue shemeji yenu.
Oyooooo!! Naomba kwenye hiyo love story yenu unitag puliiiiz πNampentaaa shemeji yako nina wivu balaa, tusije gombana bure mwaya π€£π€£π€£
Hapo mbona sijasemaaa? Ngoja mwaka uanze niwape story kamili, bonge moja la love story ya muda wote kutokea JF.
Na huko ndio nitamtag mumjue shemeji yenu.
Kuliko zimwi jipyaππ!.... Bora zimwi linalonijua litanila na kunibakisha, kuliko zimwi jipya.....haahahaha
Leo umesema, ya nini kujibana kufa kwa pureeshaa π€£π€£π€£.... Bora zimwi linalonijua litanila na kunibakisha, kuliko zimwi jipya.....haahahaha
Uduguuu wewe kwa upambe ππππLeo umesema, ya nini kujibana kufa kwa pureeshaa π€£π€£π€£
Naona mnafunga mwaka kwa kishindo cha wakoma πππππππ
dada umesahau mimi ni mama wa upendo..??
Halafu sio siri, wewe umechelewa kujua!!Watu mna siri zenu. Yaani humu anapita kama hayupo. Mwambie chimbo linawekewa mgombea aanze kumwaga sera upya[emoji1787]
πππNaona mnafunga mwaka kwa kishindo cha wakoma ππππ
πππ Nimefurahi mnavyowapenda maex zenuUduguuu wewe kwa upambe ππππ
Mi simooo uduguuu ukorofi huoooo!πππ Nimefurahi mnavyowapenda maex zenu
ππππ msijali napita naked baadae jiandaeni
Nakuja na tikiti moja mgawane πππππ
Me napendaga tu Pepsi bariiiidi..
Ahsante.
Usiweke kabla hatujatia maguu kule!ππππ msijali napita naked baadae jiandaeni
Na wanapasha haswaa πππAcha wapashe kiporo[emoji1787][emoji1787]
Bado hujasema!! π€£π€£π€£Samahani dada yake Miguel Γngel Gamondi, naweza tumia huu ujumbe mzuri nikamtag nao baba tikiti wangu..!?
Ahsante...
Yani nimecheka JF kuna wanaume majeuri ππππLove web. Hapa wanapasuana ngeo. Unayempanda anampenda mwingine. Hakuna wivu Jf
Yaani. Utata mtupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani nimecheka JF kuna wanaume majeuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamuita kushow lavu afu naye anamuita wake ampendaye
Mkuu naomba laki 3 hapo ya fasta fasta.. si unajua leo ndio leo πππππ₯π₯ππ
Na kwako pia mdogo wangu tajiri, Nakupenda halafu Nakupenda tena..!!