Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Nampentaaa shemeji yako nina wivu balaa, tusije gombana bure mwaya 🤣🤣🤣

Hapo mbona sijasemaaa? Ngoja mwaka uanze niwape story kamili, bonge moja la love story ya muda wote kutokea JF.
Na huko ndio nitamtag mumjue shemeji yenu.
Wauweeeeeeeeeeehhh🤸🤸🤸🤸!

Story la kihindi likasomeee asantreeeeee 👌
 
Back
Top Bottom