Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Atakuwa alijuta ila hakuwa na pa kufikisha msamaha wake.
Asijali, ...kiporo hakipashwi kwa moto mwingi mwambie...
Anasema ameshachungulia ujumbe wako, ila ametoka mara moja kwenda dukani.

Ndo kuna mwana anamfuatilia kimya kimya ili kujua kama anakwenda kununua dawa ya usingizi ili aweze kupata usingizi usiku au sumu ya panya ili ajimalize mazima 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom