Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

😂😂😂 Yaani nimecheka.
Ila nyie mtakuwa bado mnapendana buana!!
😌😌😌 Inawezekana.....
Unajua ktka mahusiano ambayo yamedumu kwa muda mrefu, huwa kuna baadhi ya mambo ni lazima mtakumbukana tu ambayo mlikuwa mmefanyiana...haijalishi mlikuwa na tofauti gani.
.... ngoja niishie hapa...
😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Mpaka kufikia hapa kaka Mung Chris hili goma bado lako ni wewe tyuu kutoa muongozo 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom