Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri huko mbele nimeandika "watapokuwa". Nikimaanisha watakuwa huru kushare baada ya sikuu za mwaka upya na X-mass kuisha mkuu"watu walivyo celebrity"
Amiin 🤲Aamin aamin
God is good hakika atatuvusha!
Umeona eee!! 🤣🤣🤣Mfalme mwenye himaya yake 🤣🤣🤣
Tumia angalau petrol. Acha cha R chugaSijatupia chochote [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtag hapa tumalizie wishes akae akijua
Cuba ya Chunya ausio🤠!Shem ukiwa unakula usifungue mdomo. Tulia. Code tumezielewa tuliosoma cuba[emoji1787]
😂😂😂Heri ya Christmass na mwaka mpya kwenu mashabiki wa Makolo na Utopolo...
Tujipange next year..
Ofkoooooozzz! The Original King! 🤠Mfalme mwenye himaya yake 🤣🤣🤣
Leo mlete mtoa seal wako acha kushangilia wa wenzio tena tupia kitu naked. Unapomuita kuja[emoji1787][emoji1787]Umeona eee!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Udugu huu mwezi kauanza vizuri nakwambia na anaufunga kibabe.
Vyote situmiiTumia angalau petrol. Acha cha R chuga
Nimtag Nani uduguuu ukorofi huoooo ujue! 🤠Mtag bas km siku ile 😜
Amna mkuu, niko mbali sana nao 😂😂😂Ni wewe nini? 😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani hujui kama Mimi ni Rasta? Njoo utakuta mchicha na spinach ya kushato [emoji28][emoji28][emoji28]
😌😌😌 Inawezekana.....😂😂😂 Yaani nimecheka.
Ila nyie mtakuwa bado mnapendana buana!!
Anajulikana JF nzima hata nisipomtag wapambe watanisaidia kumtag 🤣🤣🤣🤣Leo mlete mtoa seal wako acha kushangilia wa wenzio tena tupia kitu naked. Unapomuita kuja[emoji1787][emoji1787]
Mpaka kufikia hapa kaka Mung Chris hili goma bado lako ni wewe tyuu kutoa muongozo 😂😂😂😂😌😌😌 Inawezekana.....
Unajua ktka mahusiano ambayo yamedumu kwa muda mrefu, huwa kuna baadhi ya mambo ni lazima mtakumbukana tu ambayo mlikuwa mmefanyiana...haijalishi mlikuwa na tofauti gani.
.... ngoja niishie hapa...
😂😂😂😂🤣🤣🤣