Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Ni Salamu za Christmas na mwaka mpya tu mkuu sio lokesheni🤠!Love U 2.nipe location nije na ... chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Salamu za Christmas na mwaka mpya tu mkuu sio lokesheni🤠!Love U 2.nipe location nije na ... chap
We mtaje tufurahi udugu wangu!! Kwan kuna mtu Unami ogopa?!! 😂😂😂Pepo trokkkaaaaaaah!!🤠
Hahhahhaahaha.....ila ashukuru hata nimemkumbuka.😂😂😂😂 ngoja nikusaidie kumuita aje aone ujumbe wake Mung Chris njoo kaka ex wifi anakuita
Ila hii comment imenichekesha sana
Hapo mbele ya king…….!? Malizia bathiiiii 🤣🤣🤣Yeah the One and Only Great Kiiiiing😛!
Mie huyu niogope mtu humu??? Thubutuuuu!!We mtaje tufurahi udugu wangu!! Kwan kuna mtu Unami ogopa?!! 😂😂😂
Atakuwa alijuta ila hakuwa na pa kufikisha msamaha wake.Hahaha msamehe bure mkuu, huenda mwanzo hakuuona umuhimu wako, ila sasa anauona na kusaga meno 😀
Nakupenda pia. Nakutumia Xmass gifts🎄🎄 kwa niaba ya Tayana -wag🤣🤣Ni Salamu za Christmas na mwaka mpya tu mkuu sio lokesheni🤠!
Hayupo humu uduguuu niwacheeeee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😁!Hapo mbele ya king…….!? Malizia bathiiiii 🤣🤣🤣
🤠🤠🤠! Kumbe nawee mkorofi semejiii kwa heshima yake muongezee shougaaangu Tayana-wog !Nakupenda pia. Nakutumia Xmass gifts🎄🎄 kwa niaba ya Tayana -wag🤣🤣
Mlengwa saa hizi meno 32 yote nje.Kwa harakaharaka unaweza kuhisi upo ndani ya korean drama kumbe ni kweli mtu kapewa ujumbe wake😃
Yupoooo 😂😂😂😂Hayupo humu uduguuu niwacheeeee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😁!
Nakuaminia jeshi la mtu mmoko, haya mtaje udugu wangu eee 😍😍😍😍Mie huyu niogope mtu humu??? Thubutuuuu!!
Nimepokea shem mali ya brooo. Niko kwa ulinzi wa bro[emoji1783][emoji1783][emoji1783]! Kumbe nawee mkorofi semejiii kwa heshima yake muongezee shougaaangu Tayana-wog !
Thanks in advance shemlakeee
Mfalme mwenye himaya yake 🤣🤣🤣Kumekucha Kumekucha
Watu na wafalme wenu 😍
Udugu mtag bathiiii 😜
Umetupia cha Arusha uduguuu sio akili zako ujue!Yupoooo 😂😂😂😂
Sijatupia chochote 😂😂😂Umetupia cha Arusha uduguuu sio akili zako ujue!