Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Taarifa anazooo kitramboSijatupia chochote 😂😂😂
Mtag hapa tumalizie wishes akae akijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa anazooo kitramboSijatupia chochote 😂😂😂
Mtag hapa tumalizie wishes akae akijua
Watu mna siri zenu. Yaani humu anapita kama hayupo. Mwambie chimbo linawekewa mgombea aanze kumwaga sera upya[emoji1787]Anajulikana JF nzima hata nisipomtag wapambe watanisaidia kumtag [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mhmm!! Kuna kitu hapa 😂😂Amna mkuu, niko mbali sana nao 😂😂😂
😂😂😂😂 Hatumbebi we mtag buana!!Taarifa anazooo kitrambo nimtag mumbebe juu juu sitrakiiii 🚴🚴🚴🚴🚴🤣🤣!
Weka roho ziwalipuke[emoji16][emoji16]Taarifa anazooo kitrambo
Baba ……..jr 😂😂😂Nimtag Nani uduguuu ukorofi huoooo ujue! 🤠
Ukorofi huo uduguuu niwacheeeee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!😂😂😂😂 Hatumbebi we mtag buana!!
Mbona ss hivi wezi wako wote wamepata wenzi nasikia
Wewe na madame B mna kitu na maex zenu, na bado mnapendana 😂😂😂
Mchicha me nimekua sungura?😂Kwani hujui kama Mimi ni Rasta? Njoo utakuta mchicha na spinach ya kushato 😅😅😅
Mi na wifi yenu tunaanza week end leo. Hii couple ije na Lamomy na compliment yake wakuje Bata batani kuanzia leo
Weeee subiri kwanza tuwe rasmi, msije mkapepea nae bureee. JokesJamani watu mna mahaba mpk shetani anawaogopa 😍😍😍
Mtag bathiiiiii nawe Nifah
Kuna kitu nimeona nimecheka khaaaaa!!! 😂😂😂😂Ukorofi huo uduguuu niwacheeeee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
Anasema ameshachungulia ujumbe wako, ila ametoka mara moja kwenda dukani.Atakuwa alijuta ila hakuwa na pa kufikisha msamaha wake.
Asijali, ...kiporo hakipashwi kwa moto mwingi mwambie...
Acha wapashe kiporo[emoji1787][emoji1787]Wewe na madame B mna kitu na maex zenu, na bado mnapendana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sie tunajiweza shem Usijareee!Mi na wifi yenu tunaanza week end leo. Hii couple ije na Lamomy na compliment yake wakuje Bata batani kuanzia leo
Mshendwweee!Acha wapashe kiporo[emoji1787][emoji1787]
Love web. Hapa wanapasuana ngeo. Unayempanda anampenda mwingine. Hakuna wivu JfKuna kitu nimeona nimecheka khaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi ya JF buana!![emoji119]
Unamtag unayempenda afu naye anakuja kumtag anayempenda kwenye uzi huo huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wew pia tunakutakia mwaka mpya wenye amani, upendo na mafanikio makubwa.Siamini katika x-mass,,,
Nipende kuwawish Happy new year,,