Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
😀😀😀insha’allahAmiin mimi ni m1 wa waliokwama kuowa mwaka huu kutokana na ukata wa fedha.
I hope next year mambo yatajiset na nitaweka jiko ndani tho..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀insha’allahAmiin mimi ni m1 wa waliokwama kuowa mwaka huu kutokana na ukata wa fedha.
I hope next year mambo yatajiset na nitaweka jiko ndani tho..
😂😂😂 Kuwa wish heri ya Christmas hao wakuu wawili, ni sawa sawa na kwenda kuficha magunia ya bangi katika ofisi ya IGP 😂😂😂Merry Christmas kwako FaizaFoxy na Mohamed Said
heeeee😀😀😀😀weevipi umeolewa?
Amiin... na kwako pia mkuu!Heri ya sikukuu wanaukumbi wote
I hope ataiona hii mkuu.Merry Christmas and a happy new year The One and only king!
Nilitarajia tu kuona jibu la kushangazwa 😂😂😂heeeee😀😀😀😀
Wajiandae kufanya nini mkuu?Mwaka ujao CCM mjiandae
"Nitarudi"
Nakazia salamu ziwafikie popote walipoMerry Christmas kwako FaizaFoxy na Mohamed Said
Hapa salam yako imefika mkuu, i hope ataiona au wadau wenye kumfahamu watamfikishia salam zako kupitia post hii.Hata kama utakuja kujibu mwakani
Happy birthday in advance…
Kheri ya Noeli na mwaka mpya 2024… weuuh! Nakumiss Certified Hater 😂😂😂
Brigedia amekwisha kwenda zake na zile mbwembwe za usajili wa wapinzani kuwa chama kikuu zimekwishaWajiandae kufanya nini mkuu?
Kushinda serikali za mitaa?
Kuiba kura?
Au kupoteza wanachama au kuongeza wanachama?
AtazikutaHapa salam yako imefika mkuu, i hope ataiona au wadau wenye kumfahamu watamfikishia salam zako kupitia post hii.
AmenMkuu kwa ruhusa yako na mimi nawaongeza To yeye na raraa reree
Kama masihara vile mkuu, dah....Duuuh! Kwaiyo mwaka ndio umeisha kweli?[emoji23]