Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Brigedia amekwisha kwenda zake na zile mbwembwe za usajili wa wapinzani kuwa chama kikuu zimekwisha

Sasa ni zama za utakula ulipopeleka mboga

Hapo Mbeya namwonea mwana dada yule huruma maana mzee baba anarudi nyumbani hakuna wakumsumbua kwenye sanduku
Hapo nimekupata mkuu, Mungu asikie maombi yako na akupe hitajio kuu la moyo wako.
 
Namtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris

Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
 
Back
Top Bottom