Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Leo Madame B una nini na mimi lakini?

Mwenyewe nilirudi kwa zimwi langu linalonijua vyema mwenzangu, linajua jinsi ya kunila halinimalizi 🀣🀣🀭
Uliyatindinganya, mwenyewe ukarudi kwa ex wako.
Kuanza penzi jipya ni karaha sana, mnaanza kufundishana kanuni.
Wakati kwa ex wako, anajua mpaka kuta za uke wako zipoje...
Ndio maana wanasema wanawake/wanaume wengine ving'ang'anizi.
Sio ving'ang'anizi,ni ile mazoea na mtu wako.
Penzi jipya karaha sana.
Rudi kwa zimwi wako bhanan...kwan sh ngapppp!!!!
 
Usahihi ni Christmas na si X Mass. Watu waliokuwa wanapinga juu ya kuzaliwa kwa Kristo ndiyo waliobadili neno Christmas na kuja na neno X mass, ambalo kimsingi ni kupinga uwepo wa Kristo. Hivyo tuwe makini tunapotumia maneno hayo mawili
Shukran mkuu kwa kutusahihisha, maana wengi tulijua labda hiyo "X" ni kifupisho cha neno "Christ" mas.

Ubarikiwe sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…