Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Merry Christmas πŸŽ… and happy new year in advance, ni furaha kufika walau mwisho wa mwaka, tutarajie wote kuuona huo ujao.

Those who put a smile on my face na wale niliowakwaza tuishi, tuendelee kuishi.

Mimi na Atoto tunawapenda wote.
Asantee... na amiin kwa maombi yako mkuu.
 
Hii X mas mmeitoa wapi? Naona mnaiga bila hata kujua maana yake, wakristu wanayo Christmas ambayo itakuwa wiki ijayo.
 
Eeee. Kumbe Madame B sio kina cha kupima kwa mguu[emoji23][emoji23]
 
nawatakia heri ya christmas na mwaka mpya singles wote humu jukwaaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Mungu awatie nguvu

na mnaoteswa na mapenzi mwaka huu ikawe mwisho mwakani mapenzi yawauwe kabisa
Dah..!! We mamdogo weweeee..!!! Mbona umeandika kama washabiki wa Mandonga..!!??? Maana walishawahi sema wapo naye mpaka wamuuwe ulingoni...!!
 
Ulipotelea wapi we mwana JLW..!!??
 
Ukiona manyoya..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…