Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Merry Christmas 🎅 and happy new year in advance, ni furaha kufika walau mwisho wa mwaka, tutarajie wote kuuona huo ujao.

Those who put a smile on my face na wale niliowakwaza tuishi, tuendelee kuishi.

Mimi na Atoto tunawapenda wote.
Asantee... na amiin kwa maombi yako mkuu.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass.

Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi watu walivyo celebrity, na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya huko atapokuwa, au kuandika matukio yote yatakayotokea katika siku hizo mbili.

Binafsi napenda kutumia nafasi hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass wanaJF wote waliopo humu, haswa wale ambao wapo tayari kwa ajili ya kusherehekea sikuu hizo.

Najua kwa baadhi ya nchi (ikiwemo hii niliyopo mimi), hiki ni kipindi kigumu kwetu kuumaliza mwaka salama, lkn kwa uwezo wa Mungu wetu alie mwema, mwenye upendo na huruma ya kweli kwetu, basi tutaumaliza salama salmin.. Ameen.
Hii X mas mmeitoa wapi? Naona mnaiga bila hata kujua maana yake, wakristu wanayo Christmas ambayo itakuwa wiki ijayo.
 
Uliyatindinganya, mwenyewe ukarudi kwa ex wako.
Kuanza penzi jipya ni karaha sana, mnaanza kufundishana kanuni.
Wakati kwa ex wako, anajua mpaka kuta za uke wako zipoje...
Ndio maana wanasema wanawake/wanaume wengine ving'ang'anizi.
Sio ving'ang'anizi,ni ile mazoea na mtu wako.
Penzi jipya karaha sana.
Rudi kwa zimwi wako bhanan...kwan sh ngapppp!!!!
Eeee. Kumbe Madame B sio kina cha kupima kwa mguu[emoji23][emoji23]
 
nawatakia heri ya christmas na mwaka mpya singles wote humu jukwaani😀😀😀😀Mungu awatie nguvu

na mnaoteswa na mapenzi mwaka huu ikawe mwisho mwakani mapenzi yawauwe kabisa
Dah..!! We mamdogo weweeee..!!! Mbona umeandika kama washabiki wa Mandonga..!!??? Maana walishawahi sema wapo naye mpaka wamuuwe ulingoni...!!
 
Uliyatindinganya, mwenyewe ukarudi kwa ex wako.
Kuanza penzi jipya ni karaha sana, mnaanza kufundishana kanuni.
Wakati kwa ex wako, anajua mpaka kuta za uke wako zipoje...
Ndio maana wanasema wanawake/wanaume wengine ving'ang'anizi.
Sio ving'ang'anizi,ni ile mazoea na mtu wako.
Penzi jipya karaha sana.
Rudi kwa zimwi wako bhanan...kwan sh ngapppp!!!!
Ulipotelea wapi we mwana JLW..!!??
 
Back
Top Bottom