Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

JIHADHARI WAMI DARAJANI MRADI WA TRAFIKI

Kwa wale wenye mpango wa kusafiri kwa magari binafsi kwenda kaskazini kupitia daraja la Wami, chukua tahadhari zote. Jamaa wa nguo nyeupe wameweka kamera yao mara tu unapomaliza daraja. Kuna kibao cha kuterminate 50. Jamaa wanapiga magari tochi ni balaa tupu, wao wanakusubiria Mbwewe. Huna hili wala like, unapigwa mkono na kuonyeshwa picha yako.

Msimu huu jamaa watavuna. Ni vigumu sana kuvuka darajani kwa speed 50 maana barabara pale inaita sana. Sasa ndugu zangu msiseme hamkujua. Jamaa wameamka wanatafuta pesa. Yaani hizi 50 zitatutoa kamasi. Wami Darajani ni mradi mwingine wa kujinufaisha. Kuwa makini. C&P
 
Lakini ni mwisho wa mwaka huu. Huenda wanajitahidi kuhakikisha ajali, na vifo vinavyosababishwa na speed za magari hazitokei mkuu.

Muda mungine hatuwapendi hao jamaa wawepo barabarani, lkn ajali ikitokea lawama nyingi tunawaangushia wao kuwa hawakuwa barabarani kufanya kazi zao ipasavyo.
 
Mungu akujaalie ndoa yako iwe na amani, upendo na mshikamano wa hali ya juu. Hapa kuna kitu nimejifunza kupitia comment yako, na nataka nilifanyie kazi haraka iwezekanavyo before ya kuwa too late.

Asant my brother
Pamoja sana bro,,,mchakato unahitaji Total Decision coz along the way wengi watakukatisha tamaa.Lakini make sure unakuwa kitu kimoja na shemeji. Hauta shindwa kamwe. Just take risk, you will bring back your testimony as I did.
 
X- MASS ndo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…