Tumepokea salam zako vyemanawatakia heri ya christmas na mwaka mpya singles wote humu jukwaani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mungu awatie nguvu
na mnaoteswa na mapenzi mwaka huu ikawe mwisho mwakani mapenzi yawauwe kabisa
Baraka zikujie na wewe pia mkuu.Amen
Wabarikiwe
Mungu hapendiπ€£π€£π€£π€£nawatakia heri ya christmas na mwaka mpya singles wote humu jukwaaniππππMungu awatie nguvu
na mnaoteswa na mapenzi mwaka huu ikawe mwisho mwakani mapenzi yawauwe kabisa
Napokea ππ«ΆBaraka zikujie na wewe pia mkuu.
Hapo nimekupata mkuu, Mungu asikie maombi yako na akupe hitajio kuu la moyo wako.Brigedia amekwisha kwenda zake na zile mbwembwe za usajili wa wapinzani kuwa chama kikuu zimekwisha
Sasa ni zama za utakula ulipopeleka mboga
Hapo Mbeya namwonea mwana dada yule huruma maana mzee baba anarudi nyumbani hakuna wakumsumbua kwenye sanduku
Nawe pia kipenziβ€Nuzulati cocastic Lamomy Tayana-wog Omulasil Countrywide Merry Christmas a happy new year wapendwaa!
One lOvE π One Nation πΉπΏ One People π€Napokea ππ«Ά
Tajiri ake kimimiI hope ataiona hii mkuu.
Aamin! Aamin!Nawe pia kipenziβ€
Mwaka ukawe na baraka tele huu unao ishia na ufuataoπ
Ameen π€²year 2024
Manifesting good health, great opportunities, peace of mind, laughter, love, happy heart, financial freedom..
may 2024 bring all jf members genuine happiness and overflowing success IJN.
asante mahii heri kwako na familia yoteπ
Ok mkuu.. if you hope soAtazikuta
Na zinamfikia ASAP
π€£π€£π€£Mungu hapendiπ€£π€£π€£π€£
ππππndugu ni sikukuu hizi unataka lawamaπππjibu tuu jamanii
πππππππππNilitarajia tu kuona jibu la kushangazwa πππ
ππ
Na mimi kwa ruhusa yako naomba niongeze hawa mkuu πPendaelli Shimba ya Buyenze T 1990 ELY kiduku mpapaso Kigi Makasi Mtoto halali na hela Merry Christmas and a happy new year!
π€π€Tajiri ake kimimi