Alez von lumor
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 516
- 1,474
Coming through 😍...jamani, njoo nikukumbatie.
Usiwe mpweke jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coming through 😍...jamani, njoo nikukumbatie.
Usiwe mpweke jamani
😂 Bado unasoma tu mkuuKama haukuchanika, naomba tushirikiane kula sikukuu pa1 mkuu 😂😂😂
Na wewe pia 🙏🙏🙏nawatakia heri ya christmas na mwaka mpya singles wote humu jukwaani😀😀😀😀Mungu awatie nguvu
na mnaoteswa na mapenzi mwaka huu ikawe mwisho mwakani mapenzi yawauwe kabisa
🙏🙏🙏Heri ya sikukuu kwa wanajf wote....
mkumbuke kujipanga kwa ajili ya njaanuary
Hamna namna we ndio umenipa mwaliko pekee na ndio wa kwanza sina na wala sipokei mualiko mwingine.🤗🤗. Uje usherekee kusini safari hii
Hapana aisee mpenzi wangu wa sasa ni kibundaBasi atafute partner humu.
Maana singledadaz wako wengi humu.
Yaani ni wengi sana wameadimika kama sio kupotea kabisa.Unamkumbuka katekista?
Thanks babe... 😍 😍 😍Coming through 😍
Au unapanda mnazi wa mkono mmoja?Hapana aisee mpenzi wangu wa sasa ni kibunda
YeahAu unapanda mnazi wa mkono mmoja?
Ila yote hiyo mtafanya, ila mwisho wa siku, mwanamke ndio suluhisho la mwisho katika kukupa liwazo mkuu.Yeah
Nakuelewa sana tu ila mie muda wangu badoIla yote hiyo mtafanya, ila mwisho wa siku, mwanamke ndio suluhisho la mwisho katika kukupa liwazo mkuu.
thanks a lot my rival🤗, but I think you don't understand the amount of danger I possess.My Fav enemy Intelligent businessman I wish you a wonderful holiday season.
Note:: Your location is being traced right now so you better prepare for the storm.
Ohhh.....haya bhanaNakuelewa sana tu ila mie muda wangu bado
Shem, napambania kurudisha penzi la Mung Chris
Tunaweza kuja kula Christmas wote huko na huyu nyau wangu.
Nyie jiandaeni tu kupokea wageni sikukuu hii.