KUKU-DUME
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 474
- 196
poa kaka nashukuruMkuu Mi nipo nje ya nchi nakumbuka one day nishawahi kucheki kwa 1GB na zikabaki, so tumia kisha utuletee feedback
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa kaka nashukuruMkuu Mi nipo nje ya nchi nakumbuka one day nishawahi kucheki kwa 1GB na zikabaki, so tumia kisha utuletee feedback
poa kaka nashukuruMkuu Mi nipo nje ya nchi nakumbuka one day nishawahi kucheki kwa 1GB na zikabaki, so tumia kisha utuletee feedback
poa kaka nashukuru
Mimi nakuwaga na mb 300 naangalia mpira dakika zote na zinabaki nyingi tuNa uhakika 1GB ni nyingi mno na zitabaki.so test hlf utaniambia
Watch Tv channels on your android smartphoneHabari wakuu
Naomba MSAADA ktk kujua link kwa anaejua link hizo!!
Nawasilisha
Mkuu nilikutext juzi kwa simu naona hujareply ni kuhusu kiunlock vodacom zte r206 rooter
Asanteni xn mkuuingia ''www.sportscategory.com'' mkuu. hii ni kwa pc.uwe na bando ya kutosha na net yenye kasi
asante mkuu.Tumia
MOBDRO-Haipo playstore ila search google utaipata search MOBDRO APK DOWNLOAD
USTREAM-ipo playstore.
link hii apa japo ni ya kirusi lakini mechi zote livena ukitaka ku stream kwa pc inakuaje?