Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Tumia mobdro.. Haipo android lakini so isearch kawaida. Iko poa sana
 
Habari wakuu
Naomba MSAADA ktk kujua link kwa anaejua link hizo!!
Nawasilisha
 
Mkuu kuna njia nyingi mno kama unatumia simu download app ya mobdro na kama ni pc google tu utapata nyingi
 
Habari zenu wakuu msaada kwa anayefahamu apps ya windows phone itakayoniwezesha kuangalia mpira online.
natanguliza shukrani.
 
1. tumia streamtube, ni app ya youtube live huwa mipira ipo, ina scam nyingi tafuta video zenye likes nyingi. ukifungua app search timu moja inayocheza mfano leo uefa unasearch tu monaco utapata mechi ya spurs na monaco.

2.tvizzle, vlc na iptv player nyengine, hizi zinahitaji uwe na link na link zinapatikana online kabla ya mechi, google tu mechi husika na mbele ongeza neno iptv

3. flash sport, live tv na app nyengine za mpira, hizi unazidownload tu store, flashsport ni nzuri sema unalipia kila mwezi ila ina trial ijaribu.

4. html 5 links tembelea hapa wakati wa mechi zitaekwa
reddit: the front page of the internet

sema zinakuwa na matangazo sana
 
Back
Top Bottom