Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Kuna mtu anajiita pikipiki za mtumba yupo insta jamaa ana vyombo kibongo bongo vinafaa bei rafiki, sio tapeli yule?
 
Sijajua, aliyeenda ni mjomba wangu fundi pikipiki huwa anaenda kutengeneza mapikipiki ya pale, yeye mdio aliniambia mpaka pale amekosa carburetor yake.
Ok, Huwa anatengeneza Zile za polisi. Jaribu kumtafuta Masoud Khamis au Juma wale ni mafundi Bike au Kinondoni Kuna Fundi anaitwa Panya watakusaidia kuipata.

Au uagize bondeni South Africa
 
Mimi natafuta mtu mwenye Honda Africa Twin,BMW 700cc KTM 1200,au Honda Rally 300cc aniuzie. Napiga kazi Karatu Arusha na ninaishi Mwanza,nataka niwe napita njia za chocho, chap kwa haraka nafika home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…