Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Kwa maana ya kuitengeneza?mpya/used bei gani?kweni haipatikani hata kwa kuagiza?lakini pia ina magonjwa mengine?
Hii ni ya kuagiza, imekaa muda mrefu saaana, sijui kama itakuwa ishazalisha ugonjwa mwingine.. Nimepata nje carburetor mpaka kufika hapa tz inagharimu kama laki 8 hivi.
 
Hii ni ya kuagiza, imekaa muda mrefu saaana, sijui kama itakuwa ishazalisha ugonjwa mwingine.. Nimepata nje carburetor mpaka kufika hapa tz inagharimu kama laki 8 hivi.
Duh! Waweza isimamia bei gani?japo kama ni ya spana sana tena huo ni utata, hizi zinapendeza ukinyanyuka umenyanyua
 
Kwa wale waliokariri hii falsafa "life is a game" wanaweza kufanya lolote.
 
Chuma kutoka BMW maalum kwa safari ndefu, hata ukitaka kutoka Bongo mpaka Dubai ni wewe na roho yako tu. View attachment 2019463
Nazikubali, Ila nadhani uwezo unafosi badala ya GS 1250 niondoe sifuri ibaki tu XL 125 😂😂😂

Hivi zinapatikana wapi Na ni sh ngapi XL 125 Honda new and used?
 
Ila one day, Kama sio Tenere 700 [Yamaha] basi itakuwa The African Twin [Honda]--First choice......... maana adventure sports ndo mpangogo mzima👊
 
Nazikubali, Ila nadhani uwezo unafosi badala ya GS 1250 niondoe sifuri ibaki tu XL 125 [emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi zinapatikana wapi Na ni sh ngapi XL 125 Honda new and used?
XL ya Kichina au Japan? Ila angalau ingekuwa 150.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…