makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nipe ofa yako mzee.Aisee niuzie hii mselaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe ofa yako mzee.Aisee niuzie hii mselaa
Uko kipande ipi na ina tatizo gani pasi kuficha chochote, spare zipo?Nipe ofa yako mzee.
Ndio nahangaika na carburetorUko kipande ipi na ina tatizo gani pasi kuficha chochote, spare zipo?
Kwa maana ya kuitengeneza?mpya/used bei gani?kweni haipatikani hata kwa kuagiza?lakini pia ina magonjwa mengine?Ndio nahangaika na carburetor
Hii ni ya kuagiza, imekaa muda mrefu saaana, sijui kama itakuwa ishazalisha ugonjwa mwingine.. Nimepata nje carburetor mpaka kufika hapa tz inagharimu kama laki 8 hivi.Kwa maana ya kuitengeneza?mpya/used bei gani?kweni haipatikani hata kwa kuagiza?lakini pia ina magonjwa mengine?
Duh! Waweza isimamia bei gani?japo kama ni ya spana sana tena huo ni utata, hizi zinapendeza ukinyanyuka umenyanyuaHii ni ya kuagiza, imekaa muda mrefu saaana, sijui kama itakuwa ishazalisha ugonjwa mwingine.. Nimepata nje carburetor mpaka kufika hapa tz inagharimu kama laki 8 hivi.
Binadamu wana tofautiana mapenzi yao juu ya vitu, pia uwezo wa mtu, kama kuna watu wanatungua ndinga kwa M400 ije iwe 45?M45 ninunue pikipiki?? Labda pesa za ulimwengu wa roho
Kusimamia kazi kivipi?Duh! Waweza isimamia bei gani?japo kama ni ya spana sana tena huo ni utata, hizi zinapendeza ukinyanyuka umenyanyua
Noma sana nnayo cb400Honda CB SuperFour Ina 400cc ni inline 4 cylinder inakupa burudani ya kila aina.
Hongera Sana,Toleo la Mwaka Gani MkuuNoma sana nnayo cb400
Nazikubali, Ila nadhani uwezo unafosi badala ya GS 1250 niondoe sifuri ibaki tu XL 125 😂😂😂Chuma kutoka BMW maalum kwa safari ndefu, hata ukitaka kutoka Bongo mpaka Dubai ni wewe na roho yako tu. View attachment 2019463