Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Basi leo nimeiona laivu Mbeya huku hii kitu Tenere700

Ebhana na ule mg;ao wake wa bluubluu na viindiketa kama vimacho vya panzi alikuwa nayo mzungu mmoja na kipensi hivi. Kidogo nishuke kwenye daladala nimwambie 'Sir niwekee to be mtumba uniuzie mimi ukitaka kuondoka bongolandi mwaka 2033😂😂😂'

Mi CC kubwa sana sizikubali napenda uportable fulani hivii
 
Hii ni chuma nimepanga kuinunua hata ya mtumba, mpya hii inakwenda mpaka $19 elfu [emoji848]
 
Yani dola mil 11 Ni 25mil tzs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…