Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Basi leo nimeiona laivu Mbeya huku hii kitu Tenere700

Ebhana na ule mg;ao wake wa bluubluu na viindiketa kama vimacho vya panzi alikuwa nayo mzungu mmoja na kipensi hivi. Kidogo nishuke kwenye daladala nimwambie 'Sir niwekee to be mtumba uniuzie mimi ukitaka kuondoka bongolandi mwaka 2033😂😂😂'

Mi CC kubwa sana sizikubali napenda uportable fulani hivii
1659354841015.png
 
Basi leo nimeiona laivu Mbeya huku hii kitu Tenere700

Ebhana na ule mg;ao wake wa bluubluu na viindiketa kama vimacho vya panzi alikuwa nayo mzungu mmoja na kipensi hivi. Kidogo nishuke kwenye daladala nimwambie 'Sir niwekee to be mtumba uniuzie mimi ukitaka kuondoka bongolandi mwaka 2033[emoji23][emoji23][emoji23]'

Mi CC kubwa sana sizikubali napenda uportable fulani hivii
View attachment 2311012
Hii ni chuma nimepanga kuinunua hata ya mtumba, mpya hii inakwenda mpaka $19 elfu [emoji848]
 
Ukiongelea pikipiki inayouzwa bei ghali duniani kwa sasa ni hii hapa chini pengine wadau wameweka picha zake ila hawaielezea kiundani zaidi... haya hizi apa sifa zake[emoji116]

Model name-Neiman marcus limited fighter

Price in usd[emoji117]11millions

In tsh[emoji117]25,535,125,000.00 millions[emoji16][emoji21]

Engine-v-twin

Top speed-300km/h

Displacement-1966.55cc

No. Of cylinders 2

Valves per cylinder 4

Transmission-6-speed

Final drive-chain

0-100 3.0sec aproxx

Battery-v12

Kerb weight-200+kg

View attachment 2285218View attachment 2285219View attachment 2285221
Yani dola mil 11 Ni 25mil tzs?
 
Back
Top Bottom