Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Matapeli hao kaa nao mbali
 
Hii ukichukua kwa million ngapi mkuu?
Maana nilienda cycle traders chuma Kama yako wanauza mil 57 za kibongo
 
Da crown mbili hapa aisee
 
Hawa jamaaa niliwacheki siku moja Wana vyuma kweli
 
Hii ukichukua kwa million ngapi mkuu?
Maana nilienda cycle traders chuma Kama yako wanauza mil 57 za kibongo
Kuna jamaaa mmoja Facebook aliipost anaitwa khaled ponera yupo na Twitter aliipost 35m sasa sijui bado anayo
 
Unaponunua a SA bike hakikisha umecheck na interpol kwa sababu nyingi (si zote) zimekwapuliwa
Sisi inakuja baada ya documents za interpol, export kukamilika na kila border documents zinagongwa. Kodi atalipa mteja ikifika Tunduma atapewa control namba alipe malipo yatasoma pikipiki inavuka salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…