G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Usicheze na hili jukwaa. Hapa kuna mtu atatuma picha ya lishangazi lenye mzigo mkubwa aseme ndio pikipiki anazopenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Usicheze na hili jukwaa. Hapa kuna mtu atatuma picha ya lishangazi lenye mzigo mkubwa aseme ndio pikipiki anazopenda
Mbona unacheka mkuu. Watu wanaweza wakapost mapikipiki yao ya maji ya kunde hapa au yakiafrika bambataa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Matapeli hao kaa nao mbaliWakuu, kuna watu Insta wanajiita biketz wanadai wana import bikes kutoka Japan kuja Bongo. Nimekua naangalia bei zao naona no cheap sana. Na wanasema unalipia kwanza ndio pikipiki inakuja.
Mfano ni hizi hapa:
Hii BMW inauzwa Mil 8.
View attachment 2579605
Na hii Ducati Mil 8.5
View attachment 2579610
Kuna uwezekano ikawa kweli, lakini bei zao naona kama ndogo san.
Kuna mtu anawajua?
Hii ukichukua kwa million ngapi mkuu?Hapo mwanzo sikuwaga na mapenz na pikpik kabisa lkn saiv aseh huniambi kitu kuhusu pikpik napenda saaan,hii mashine ni tam sana japo Mwenyez Mungu aniepushe na mabalaa huko road msuli wa paja hapo ulishachanika ila ni kudra za Allah zinatunusuru
View attachment 2580220
Asante umenielewa mkuu[emoji1]Soma vizuri hajasema ndio most expensive bike in the world bali kasema ina mwendo mkali kuliko,, Dodge tomahawk iko namba 7 hukoView attachment 2579148
Da crown mbili hapa aiseeHapo mwanzo sikuwaga na mapenz na pikpik kabisa lkn saiv aseh huniambi kitu kuhusu pikpik napenda saaan,hii mashine ni tam sana japo Mwenyez Mungu aniepushe na mabalaa huko road msuli wa paja hapo ulishachanika ila ni kudra za Allah zinatunusuru
View attachment 2580220
Hawa jamaaa niliwacheki siku moja Wana vyuma kweliWakuu, kuna watu Insta wanajiita biketz wanadai wana import bikes kutoka Japan kuja Bongo. Nimekua naangalia bei zao naona no cheap sana. Na wanasema unalipia kwanza ndio pikipiki inakuja.
Mfano ni hizi hapa:
Hii BMW inauzwa Mil 8.
View attachment 2579605
Na hii Ducati Mil 8.5
View attachment 2579610
Kuna uwezekano ikawa kweli, lakini bei zao naona kama ndogo san.
Kuna mtu anawajua?
Tatizo bei zao na pikipiki haviendani. Ndio nnachoogopa.Hawa jamaaa niliwacheki siku moja Wana vyuma kweli
Kuna jamaaa mmoja Facebook aliipost anaitwa khaled ponera yupo na Twitter aliipost 35m sasa sijui bado anayoHii ukichukua kwa million ngapi mkuu?
Maana nilienda cycle traders chuma Kama yako wanauza mil 57 za kibongo
Jaribu kuwacheki labda sio waswahili ila usitangulize pesa kwanza.Tatizo bei zao na pikipiki haviendani. Ndio nnachoogopa.
Mkuu kama upo tayari karibu tufanye Biashara. Bmw hizo Used South Africa zipo kuanzia 15m bila kodi na usafiri mpaka TanzaniaHii ukichukua kwa million ngapi mkuu?
Maana nilienda cycle traders chuma Kama yako wanauza mil 57 za kibongo
Mkuu kwa sasa sipo vizuri budget zimeingilia Ila nakuhaidi baada ya miezi 2 nitakucheki pmMkuu kama upo tayari karibu tufanye Biashara. Bmw hizo Used South Africa zipo kuanzia 15m bila kodi na usafiri mpaka Tanzania
Hii ni kweli kabisaUnaponunua a SA bike hakikisha umecheck na interpol kwa sababu nyingi (si zote) zimekwapuliwa
Spare vp zinapatika kiurahisi
Sisi inakuja baada ya documents za interpol, export kukamilika na kila border documents zinagongwa. Kodi atalipa mteja ikifika Tunduma atapewa control namba alipe malipo yatasoma pikipiki inavuka salama.Unaponunua a SA bike hakikisha umecheck na interpol kwa sababu nyingi (si zote) zimekwapuliwa
Wenye office kariakoo ni BIKERS CORNER na sio hao, ila hizo bei Mmnh!Hawa si wana ofisi kariakoo kabla ya Msimbazi, nitapita dukani kwao kisha jioni nitakupa mrejesho. Au nitamuuliza kuna dogo ni fundi bike hizi kubwa