Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Wakuu, kuna watu Insta wanajiita biketz wanadai wana import bikes kutoka Japan kuja Bongo. Nimekua naangalia bei zao naona no cheap sana. Na wanasema unalipia kwanza ndio pikipiki inakuja.

Mfano ni hizi hapa:

Hii BMW inauzwa Mil 8.
View attachment 2579605

Na hii Ducati Mil 8.5

View attachment 2579610

Kuna uwezekano ikawa kweli, lakini bei zao naona kama ndogo san.

Kuna mtu anawajua?
Matapeli hao kaa nao mbali
 
Hapo mwanzo sikuwaga na mapenz na pikpik kabisa lkn saiv aseh huniambi kitu kuhusu pikpik napenda saaan,hii mashine ni tam sana japo Mwenyez Mungu aniepushe na mabalaa huko road msuli wa paja hapo ulishachanika ila ni kudra za Allah zinatunusuru
View attachment 2580220
Hii ukichukua kwa million ngapi mkuu?
Maana nilienda cycle traders chuma Kama yako wanauza mil 57 za kibongo
 
Da crown mbili hapa aisee
 
Wakuu, kuna watu Insta wanajiita biketz wanadai wana import bikes kutoka Japan kuja Bongo. Nimekua naangalia bei zao naona no cheap sana. Na wanasema unalipia kwanza ndio pikipiki inakuja.

Mfano ni hizi hapa:

Hii BMW inauzwa Mil 8.
View attachment 2579605

Na hii Ducati Mil 8.5

View attachment 2579610

Kuna uwezekano ikawa kweli, lakini bei zao naona kama ndogo san.

Kuna mtu anawajua?
Hawa jamaaa niliwacheki siku moja Wana vyuma kweli
 
Hii ukichukua kwa million ngapi mkuu?
Maana nilienda cycle traders chuma Kama yako wanauza mil 57 za kibongo
Kuna jamaaa mmoja Facebook aliipost anaitwa khaled ponera yupo na Twitter aliipost 35m sasa sijui bado anayo
 
Unaponunua a SA bike hakikisha umecheck na interpol kwa sababu nyingi (si zote) zimekwapuliwa
Sisi inakuja baada ya documents za interpol, export kukamilika na kila border documents zinagongwa. Kodi atalipa mteja ikifika Tunduma atapewa control namba alipe malipo yatasoma pikipiki inavuka salama.
 
Back
Top Bottom