Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Baaada ya kupitia huu uzi nimegundua bongo piki piki chache ila tuna baiskeli za mafuta
Bongo hakuna kitu, wengi wanatumia mchina ambae ni laini sawa na ubwabwa tu ukilinganisha na hivyo vyuma.
 
BMW R1200GS or R1200gsa ni pikipiki ya kipekee sana.
⬛️FUEL INJECTION SYSTEM
⬛️SHAFT DRIVEN
⬛️LIQUID COOLED

gs ni ufipisho wa maneno ya German maana yake OFFROAD/ROAD inapiga nje ndani.
GSA ni ufipisho pia offroad and road adventure.. Masafa marefu nje ndani.

Ina Horsepower 125hp
Torque 125nm
Uzito 248kg gsa na 204 kg gs kavu
Seat heights 860mm gsa na 838 mm gs kavu
Fuel capacity 30litre gsa na 20 gs kavu
Fuel consumption 20km/l gsa na 24km/l gs kavu
Maximum speed 210 km/ hr
Ila dashboard ina 240 km/hr.
Ni hivi mzigo una tubeless tyre spoked wheel kwenye gsa na alloy wheels kwenye gs kavu
Taili kubwa kwenye gsa kuliko kavu.
 
Mashine kama hii ukiwa nayo Tanzania unapata wapi mafundi wa uhakika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…