Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashine kama hii ukiwa nayo Tanzania unapata wapi mafundi wa uhakika?BMW R1200GS or R1200gsa ni pikipiki ya kipekee sana.
[emoji834]️FUEL INJECTION SYSTEM
[emoji834]️SHAFT DRIVEN
[emoji834]️LIQUID COOLED
gs ni ufipisho wa maneno ya German maana yake OFFROAD/ROAD inapiga nje ndani.
GSA ni ufipisho pia offroad and road adventure.. Masafa marefu nje ndani.
Ina Horsepower 125hp
Torque 125nm
Uzito 248kg gsa na 204 kg gs kavu
Seat heights 860mm gsa na 838 mm gs kavu
Fuel capacity 30litre gsa na 20 gs kavu
Fuel consumption 20km/l gsa na 24km/l gs kavu
Maximum speed 210 km/ hr
Ila dashboard ina 240 km/hr.
Ni hivi mzigo una tubeless tyre spoked wheel kwenye gsa na alloy wheels kwenye gs kavu
Taili kubwa kwenye gsa kuliko kavu. View attachment 2117358
Nikizionaga hz na baja nawakumbuka wahuni wa arusha kabla ya kuja sanlg,hapa mchawi hela tuZimetoka mpya nyingi, lakini huyu mwamba heshima yake ipo pale pale na bei haishuki kizembe. View attachment 2076039

Exactly,kwa sis watu warefu haya yanatufaa sanaPori kwa pori, ukikaa hapo unasahau habari ya gari [emoji16]View attachment 2083774
Haya madude ya sinoray hayana shughuli ndugu yangu,jichange uchukue Honda xxlView attachment 2118226
Sahv kuna huyu mnyama kampuni ya sinoray,namtaman kinyama
😂View attachment 2118226
Sahv kuna huyu mnyama kampuni ya sinoray,namtaman kinyama
Jamaa anafurahisha kweli,tena anakwambia ni ndoto yake kumiliki![emoji23] [emoji1787] Acha masihara basi mzee. Sinoray akawe mnyama
[emoji23]
Hamna kitu nilinunua hii sikutumia hata mwezi nikaiuzaView attachment 2118226
Sahv kuna huyu mnyama kampuni ya sinoray,namtaman kinyama
Ilisumbua nn,mbona machon inavutiaHamna kitu nilinunua hii sikutumia hata mwezi nikaiuza
View attachment 2125430
Kwa age yangu napenda hiyo...