Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Dah parefu mzee. Nitatafuta basi ka cc300 ila nahisi shape itakua mbaya. Nimependa haka.Million 5 hupati mkuu labda mil 8
Zile naked CB sio mdau sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah parefu mzee. Nitatafuta basi ka cc300 ila nahisi shape itakua mbaya. Nimependa haka.Million 5 hupati mkuu labda mil 8
CBR300 haina mzuka ni single cylinder engine. Bora uchukue CBR250RR ni inline 2 cylinder hata toleo la nyuma au CBR400RR inline 4.Dah parefu mzee. Nitatafuta basi ka cc300 ila nahisi shape itakua mbaya. Nimependa haka.
Zile naked CB sio mdau sana.
Ukiwa unaongelea ndege ya chini basi usikose kuiongelea na hii japo ni matairi mawili maana ndio pikipiki namba moja kwa mwendo hivi sasa duniani...[emoji116]
MTT 420RR Specifications
Engine: Rolls Royce Allison – 250-C20 Series Gas Turbine.
Power: 420 HP @ 52,000-rpm.
Torque: 678 NM @ 2,000-rpm.
Transmission: 2-Speed – Automatic.
Lubrication: Dry-sump / 3.5 Qts. Turbine Oil.
Frame: Aluminum Alloy.
Weight: 227 Kg.
RPM: 6,000 RPM.
Price in usd=270,000[emoji114]
In tsh=626,771,250.00millions
Hapa unapata ile range rover autobiography 2022 mpya kabisa au uchague kuleta land cruiser j300 ikiwa 0 kilometre na maganda yake...[emoji16][emoji23]
View attachment 2285195View attachment 2285196View attachment 2285197
Soma vizuri hajasema ndio most expensive bike in the world bali kasema ina mwendo mkali kuliko,, Dodge tomahawk iko namba 7 hukoSio kweli, most expensive bike inaitwa Dodge Tomahawk. Bei yake ni $550,000.
Google uione
Yaani kiufupi pikipiki ya kumfanya mtu kuinjoy ni lazima iwe ni bike ya Adventure
1. BMW GS 1250cc
2. HONDA AFRICA TWIN
3. YAMAHA SUPER TENERE 700cc
4. HIMALAYAN ROYAL INFIELD 460cc
Hawa si wana ofisi kariakoo kabla ya Msimbazi, nitapita dukani kwao kisha jioni nitakupa mrejesho. Au nitamuuliza kuna dogo ni fundi bike hizi kubwaWakuu, kuna watu Insta wanajiita biketz wanadai wana import bikes kutoka Japan kuja Bongo. Nimekua naangalia bei zao naona no cheap sana. Na wanasema unalipia kwanza ndio pikipiki inakuja.
Mfano ni hizi hapa:
Hii BMW inauzwa Mil 8.
View attachment 2579605
Na hii Ducati Mil 8.5
View attachment 2579610
Kuna uwezekano ikawa kweli, lakini bei zao naona kama ndogo san.
Kuna mtu anawajua?
Hap matapeli kaka nimepita pale dukani Msimbazi jioni wale wanaitwa Bikers Corner Ltd. Hata kwenye page zao za mitandaoni wanapatikana kwa jina hilo.Wakuu, kuna watu Insta wanajiita biketz wanadai wana import bikes kutoka Japan kuja Bongo. Nimekua naangalia bei zao naona no cheap sana. Na wanasema unalipia kwanza ndio pikipiki inakuja.
Mfano ni hizi hapa:
Hii BMW inauzwa Mil 8.
View attachment 2579605
Na hii Ducati Mil 8.5
View attachment 2579610
Kuna uwezekano ikawa kweli, lakini bei zao naona kama ndogo san.
Kuna mtu anawajua?
Wakuu, kuna watu Insta wanajiita biketz wanadai wana import bikes kutoka Japan kuja Bongo. Nimekua naangalia bei zao naona no cheap sana. Na wanasema unalipia kwanza ndio pikipiki inakuja.
Mfano ni hizi hapa:
Hii BMW inauzwa Mil 8.
View attachment 2579605
Na hii Ducati Mil 8.5
View attachment 2579610
Kuna uwezekano ikawa kweli, lakini bei zao naona kama ndogo san.
Kuna mtu anawajua?
Boss, nashukuru nitakucheki PMView attachment 2580098Wacheki hawa namba ya boss wao nimekupa, kama utataka used za South Africa nicheki mwezi huu kuna gari itafatwa pick up pikipiki itapakiwa huku utalipia ushuru Tunduma
Boss shukrani sana aisee. Angalau nimepata pa kuanzia.Hap matapeli kaka nimepita pale dukani Msimbazi jioni wale wanaitwa Bikers Corner Ltd. Hata kwenye page zao za mitandaoni wanapatikana kwa jina hilo.
Cbr600 ipo njiani utamcheki boss wao namba hii 067 453 2555. Pale wana Kawasaki Ninja 400cc na Honda CB400 super four
Hivi hizo pikipiki huwa zauzwa bei gani?Hata BMW kuanzia R1150GS, R1200GS una enjoy most, leo hapa nina safari ya kilometers kama 70 natoka na R1200GS
Niuzie mkuu, ukiichoka na kutaka kubadilisha nyingineHata BMW kuanzia R1150GS, R1200GS una enjoy most, leo hapa nina safari ya kilometers kama 70 natoka na R1200GS
Bei mkuu.Yamaha XSR ikiwa inakuja na cc 900 View attachment 2019436
Let's get in touch broNiuzie mkuu, ukiichoka na kutaka kubadilisha nyingine