Thread Ya Chai: Tupe Story Uliyowahi Kuisikia - hapa JF au pengne - ukajisemea Mmmh hii ni fix, ila iko kitaalam sana

Kuna jamaa aliniambia kuwa kuna mwizi mmoja alienda kuiba bahati mbaya akakamatwa na wamama wa kizaramo. Basi wale wamama wakamchamba (kumsuta) mpaka yule mwizi akafa...

Huyo jamaa tuneheshimiana sana ila hapa nafiki aliivunja heshima yangu kwake niliyoiweka kwa muda mrefu...
Aliamua kukuokota sana huyu jamaa
 
Bila kumsagau bilionea la kinyakyusa Bill Lugano huyu jamaa nilisoma story yake ya kwanza ile kaenda ferry akadharauliwa na muuza samaki kumbe nje kapaki range new model...
Story zake huyu jamaa ni chai tupu, mchangamsha genge wa jf.
 
ukute alitapeliwa chenji yake mia tatu.
 
Story zote za Mungu ni fix zilizokaa kitaalam sana.
 
Back
Top Bottom