Thread Ya Chai: Tupe Story Uliyowahi Kuisikia - hapa JF au pengne - ukajisemea Mmmh hii ni fix, ila iko kitaalam sana

Thread Ya Chai: Tupe Story Uliyowahi Kuisikia - hapa JF au pengne - ukajisemea Mmmh hii ni fix, ila iko kitaalam sana

Ni sawa na ule uzi wa Insider anawaokota mademu kwa chai isiyo na viungo. Kuna mdada mmoja ananaitwa cacutee humwambii kitu. Yeye ndio kajipa cheo cha Iryn kabisa na mwingine Nourhan yaani yeye ndio inaweza dhania ndio Mama Jr.😀😀😀😀
Haha kumbe ile chai na wewe unaisomaa maana umejua Hadi akina iryn.

Hya ngoja tukasubiri chai nyingine
 
CHAI nazi, iliki mdalasini n.k zipo nyingi sana narudi
20240830_171735.jpg
 
Kuna hadithi ya waislamu kwenye kitabu cha Sahih Al-Bukhari ati Mtume Musa alihofiwa kuwa na kibamia kwa kuwa alikuwa akijitenga wakati wa kuoga.
Wanaume wenzie walioga pamoja, wakiwa uchi isipokuwa yeye.

Siku moja, akiwa ameweka nguo zake juu ya jiwe ili aoge, jiwe likaanza kukimbia na nguo zake.
😄
Basi akaanza kulikimbiza lile jiwe, ndipo watu wakaona kumbe Musa ana mkonga Mandingo kabisa bwana.
🤣
Dini ina masimulizi mengi yasiyi make sense, ila hii ni kali yao!

Huwa natabasamu tu nikifikiria kuna watu wanaamini huu upuuzi ni ukweli kabisa.
Ina kaukweli na uongo ndani yake, Musa alikuwa hajatahiriwa. Ndo mana alikuwa anajificha kwa zanani hiyo ilikuwa skendo kwa
Kuna hadithi ya waislamu kwenye kitabu cha Sahih Al-Bukhari ati Mtume Musa alihofiwa kuwa na kibamia kwa kuwa alikuwa akijitenga wakati wa kuoga.
Wanaume wenzie walioga pamoja, wakiwa uchi isipokuwa yeye.

Siku moja, akiwa ameweka nguo zake juu ya jiwe ili aoge, jiwe likaanza kukimbia na nguo zake.
😄
Basi akaanza kulikimbiza lile jiwe, ndipo watu wakaona kumbe Musa ana mkonga Mandingo kabisa bwana.
🤣
Dini ina masimulizi mengi yasiyi make sense, ila hii ni kali yao!

Huwa natabasamu tu nikifikiria kuna watu wanaamini huu upuuzi ni ukweli kabisa.
Ina kaukweli ndani yake, Musa alikuwa hajatahiriwa na wakati huo wana wa israel lazima watahiriwa hivyo alikuwa akijifcha labda sababu ya hiyo
agano la Mungu na Ibrahimu, ambalo liliagiza kwamba kila mwana wa kiume wa Waisraeli lazima atahiriwe kama ishara ya agano hilo (Mwanzo 17:10-14).

Hii ilikuwa mbaya kwa sababu kutahiriwa kilikuwa agizo la Mungu kwa Waisraeli, na ilikuwa ishara ya uhusiano wao wa kiroho na Mungu. Kutokutii amri hii kulikuwa sawa na kukataa agano la Mungu, na hivyo kuleta adhabu ya Mungu. Musa, ambaye alikuwa amepewa jukumu la kuwaongoza Waisraeli, alitarajiwa kuwa mfano wa utii wa maagizo ya Mungu.
 
Kuna jamaa alikua anajifanya mtu wa freemason anatoa mipango ya kuzimu... akatuambia kila wiki siku ya j3 shetani huwa anakuja duniani kutembea tembea akiwa na gari yake mercedes benz nyeusi 😅 🤣🤣🤣 hivyo tuwe makini
 
Anakuja na gari Mercedes-Benz au
sioo 😂😂😂

tayari tushapigwa hapo
 
Chai nyingi huwa inazidi sukari jukwaa la MMU yaani kuna watu wanakopi stry facebook wanakuja kutuwekea humu na watu wanachangia.......
 
Back
Top Bottom