technician_inc
New Member
- May 4, 2024
- 2
- 3
K
Vijiweni, maofisini au popote tunapokutana na watu tofauti tofauti kila siku kwa nyakati tofauti huwa kuna wakati tunakutana na watu - hata washkaji zetu wenyewe - wanatupa story kuhusu mambo mengi waliyowahi kupitia, kuona au kusikia.
Kuna ile siku mshkaji wako wa kila siku kabisaaa anakupigia story unajaribu kuisikiliza, kuielewa, kuichanganua na kuichenjua mpaka unafika mahali unajisemea mmmmhh HII CHAI KABISA HII.
.
Tuwekee hapa chini tuenjoy nayo wikiend hii. Kuna
Kuna gazeti lilichapisha mwamba Moja huyo anaitwa kiodombi, mshirikina balaa mwamba alikuwa ana deal na products za dukani tu yeye hana haja ya kuroga mtu, ni kubeba Michele,.unga, mafuta. Yaanini kusafisha maduka tu usiku.