Thread Ya Chai: Tupe Story Uliyowahi Kuisikia - hapa JF au pengne - ukajisemea Mmmh hii ni fix, ila iko kitaalam sana

Thread Ya Chai: Tupe Story Uliyowahi Kuisikia - hapa JF au pengne - ukajisemea Mmmh hii ni fix, ila iko kitaalam sana

Ina kaukweli na uongo ndani yake, Musa alikuwa hajatahiriwa. Ndo mana alikuwa anajificha kwa zanani hiyo ilikuwa skendo kwa

Ina kaukweli ndani yake, Musa alikuwa hajatahiriwa na wakati huo wana wa israel lazima watahiriwa hivyo alikuwa akijifcha labda sababu ya hiyo
agano la Mungu na Ibrahimu, ambalo liliagiza kwamba kila mwana wa kiume wa Waisraeli lazima atahiriwe kama ishara ya agano hilo (Mwanzo 17:10-14).


Hii ilikuwa mbaya kwa sababu kutahiriwa kilikuwa agizo la Mungu kwa Waisraeli, na ilikuwa ishara ya uhusiano wao wa kiroho na Mungu. Kutokutii amri hii kulikuwa sawa na kukataa agano la Mungu, na hivyo kuleta adhabu ya Mungu. Musa, ambaye alikuwa amepewa jukumu la kuwaongoza Waisraeli, alitarajiwa kuwa mfano wa utii wa maagizo ya Mungu.
Mwamba alikuwa na g*vi?
 
ya kwamba mamba akila nyama tamu ambayo hajawahi kula ktk maisha yake basi machozi humtoka!
 
Kuna moja aliwahi itoa Katibu mkuu mstaafu wa Chadema nilicheka sana.

Alisema.kuna bomba la gesi linapita chini ya bahari tokea mtwara.mpaka huko ulaya.
 
Back
Top Bottom