Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Aliamua kukuokota sana huyu jamaaKuna jamaa aliniambia kuwa kuna mwizi mmoja alienda kuiba bahati mbaya akakamatwa na wamama wa kizaramo. Basi wale wamama wakamchamba (kumsuta) mpaka yule mwizi akafa...
Huyo jamaa tuneheshimiana sana ila hapa nafiki aliivunja heshima yangu kwake niliyoiweka kwa muda mrefu...
Ukisikia akili fyatu ndo huyuEti bichwa komwe ana wowowo kama la masogange....
Wangejua hata kujamba nashindwa hadi niweke sponji ili kuepuka msuguano wa ushuzi na fuvu.
Cc: Lamomy cocastic Mzee wa kupambania dronedrake Mbaga Jr Poor Brain The Icebreaker Extrovert njumu za kosovo
Jichanganye ukutane na wanaume wenzioKwamba ni warembo kama avatar zao?
litutumbwe hivi anatuonaje aisee?litutumbwe alijitoa mwili copy, mwili mmoja unalala mwili mwingine unaingia mtaani.....
rinda mashakaniJichanganye ukutane na wanaume wenzio
Uchawi upo,nimeonana na kitu nyumbani kwangu asubuhi hii
Nilikua ndiyo nimeamka nikajiandaa kwenda kazini.. nimetoka upande wa nje ndiko ambako kuna mabanda na vitu mbali mbali ghafla niliona kitu kilichofanya tumbo livurugike... Nikamuona paka, ila anatembea kwa miguu miwili, akanisogelea na kunisemesha... wewe litutumbwe kwa nini ulinitumia...www.jamiiforums.com
Story za litutumbwe zote Huwa ni chai
ukute alitapeliwa chenji yake mia tatu.Bila kumsagau bilionea la kinyakyusa Bill Lugano huyu jamaa nilisoma story yake ya kwanza ile kaenda ferry akadharauliwa na muuza samaki kumbe nje kapaki range new model...
Story zake huyu jamaa ni chai tupu, mchangamsha genge wa jf.
hahahahah dahStory zote za Mungu ni fix zilizokaa kitaalam sana.
Wa kizungu au mbwa koko??Hance Mtanashati wewe ni mbwa