Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Its all about Branding my friend.

Leo zuchu akifanya show ya 5 million (VVIP tickets) hakuna promoter atakuja kumtaka Zuchu kwa dau la kipumbavu vilevile Kampuni zinazotoa deals mbalimbali lazima zitakuja na donge nono

Kwa maneno mengine Zuchu anaongezewa thamani na hii show yake , mind you its her first official show, sasa jiulize 3 to 4 years after atakuwa wapi!!
Atakua analelea mtoto wa 8 wa dayamondi.
 
Rangi yake safi, ila mengine mmmh, kuna ule uzuri natural kama wa tanasha, lulu,Juliana kanyomoza, mariam tindatine, halime mdee, vanesa mdee,fatuma,etc[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwa Vanessa mdee ewaaaaaaaaaaaaaaah, [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Mm situmii mikorogo iweje nipende watumia mikorogo.? Zuchu ana rangi nzuri , ila mengine wa kawaida sana , maskini na shavu lake kama anapuliza moto😁😁😁😁 kidding bana.


Sawa japo wewe ni dada, lakini Zuchu akikupa utakataa?
 
Diamond ni game changer, hivi ndivyo wasanii wa Tanzania thamani yao inavyopaswa kuwa. Wasanii wote wakijitambua aisee hakuna media itayofanya ujinga tena kama alivyofanyiwa Mondi.
kwa iyo zuchu tutaishia kumuona kwenye shoo za mond tu hapa nchini.......maana ela yake hakuna promota ataeweza kuitoa
 
kwani zuchu ndo nani mbona kama anapewa promo sana?
 
kwa iyo zuchu tutaishia kumuona kwenye shoo za mond tu hapa nchini.......maana ela yake hakuna promota ataeweza kuitoa

Ndo value yenyewe hiyo sasa, mabadiliko yanaanza taratibu, Wakishakua 20 hivi kama zuchu itafikia stage promoters wataona ni kawaida tu kumlipa msanii wa Tanzania mamilioni.
 
Sawa japo wewe ni dada, lakini Zuchu akikupa utakataa?
Umetumia mfano mbaya. Nimeelewa ila frankly speaking huyo binti uzuri 0, labda kama ana Tabia njema imbebe + na diamond kumnadi kwa nguvu Kali, ila wa kawaidaaa sana. Sema hela akizipata zitambeba.😁😁😁yaishe bana
 
Nendeni mkawachangie Hela badaye mletewe madharau

Ova
 
Back
Top Bottom