Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mkuu leo utagalagala kwa furaha kuu 🤣Ukisema wewe huna hela Kuna wengine wenye hela ndio maisha yalivyo we angalia walivyopata lundo la watu wakinunua tickets pale sinza vunjabei Jana ndio ujue maisha hayapo fair