Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mi nasubir za buku tatu..ukumbi wa dar west,..
Wewe unajulikana kabisa una chuki na WCB au niifufue comment yako uliotoa kuhusu hela ya hii show🤣unafikiri nina roho mbaya ya kishabiki mandazi kama wewe. Usiniamishie akili zako.
Ushauri:Wenye Mafanikio siku zote hawachukiwi na hata ukiwachukia unajipa kazi na unakondesha afya ya moyo wakoAkaaaaah nipo kawaida sanaaaah, afu nasubiri povu jingi kutoka kwa ID yako nyingine, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka nishangae nisione comment yako hapaSold out wapi lugha ya biashara tu hio
Mastaa kibao wapo invited
#hatermkongwe
VVIP milioni 5
Bei ni kuanzia elfu 50 kwa viti vya kawaida laki 1 vip,vvip mil 3 na vvvip mil 5.
Haiwezekani kutokea shoo ya billion 10 bongo.2,000×5,000,000=10,000,000,000[emoji848]
Unangoja nini humu au mangi bado hajafunguaBora Hela yangu nikae kwa mangi nitumbue tu
Ova
Aisee tufanye mpango wa kurob BANK...Kweli nimeamini Mimi peke yangu Sina pesa.
Nipe ramani...tufanye yetu.Aisee tufanye mpango wa kurob BANK...