Rangi yake safi, ila mengine mmmh, kuna ule uzuri natural kama wa tanasha, lulu,Juliana kanyomoza, mariam tindatine, halime mdee, vanesa mdee,fatuma,etc😂😂😂luckyline Mbona binti Ni mzuri Sana alafu Ni mbichi au ulitaka atumie mkorogo ili umuone mzuri?
Atakua analelea mtoto wa 8 wa dayamondi.Its all about Branding my friend.
Leo zuchu akifanya show ya 5 million (VVIP tickets) hakuna promoter atakuja kumtaka Zuchu kwa dau la kipumbavu vilevile Kampuni zinazotoa deals mbalimbali lazima zitakuja na donge nono
Kwa maneno mengine Zuchu anaongezewa thamani na hii show yake , mind you its her first official show, sasa jiulize 3 to 4 years after atakuwa wapi!!
Hapo kwa Vanessa mdee ewaaaaaaaaaaaaaaah, [emoji7][emoji7][emoji7]Rangi yake safi, ila mengine mmmh, kuna ule uzuri natural kama wa tanasha, lulu,Juliana kanyomoza, mariam tindatine, halime mdee, vanesa mdee,fatuma,etc[emoji23][emoji23][emoji23]
Mm situmii mikorogo iweje nipende watumia mikorogo.? Zuchu ana rangi nzuri , ila mengine wa kawaida sana , maskini na shavu lake kama anapuliza moto😁😁😁😁 kidding bana.
Halima mdee ana uzuri gani?Rangi yake safi, ila mengine mmmh, kuna ule uzuri natural kama wa tanasha, lulu,Juliana kanyomoza, mariam tindatine, halime mdee, vanesa mdee,fatuma,etc😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 Akikujibu nitagSawa japo wewe ni dada, lakini Zuchu akikupa utakataa?
Halima mdee??..Okay,I got youRangi yake safi, ila mengine mmmh, kuna ule uzuri natural kama wa tanasha, lulu,Juliana kanyomoza, mariam tindatine, halime mdee, vanesa mdee,fatuma,etc[emoji23][emoji23][emoji23]
kwa iyo zuchu tutaishia kumuona kwenye shoo za mond tu hapa nchini.......maana ela yake hakuna promota ataeweza kuitoaDiamond ni game changer, hivi ndivyo wasanii wa Tanzania thamani yao inavyopaswa kuwa. Wasanii wote wakijitambua aisee hakuna media itayofanya ujinga tena kama alivyofanyiwa Mondi.
Comment ya Mwaka hii !!Kama ni kuangalia show tu hapana ila kama ni kuangalia show na kumpiga show labda
kwa iyo zuchu tutaishia kumuona kwenye shoo za mond tu hapa nchini.......maana ela yake hakuna promota ataeweza kuitoa
HajichubuiHalima mdee ana uzuri gani?
Umetumia mfano mbaya. Nimeelewa ila frankly speaking huyo binti uzuri 0, labda kama ana Tabia njema imbebe + na diamond kumnadi kwa nguvu Kali, ila wa kawaidaaa sana. Sema hela akizipata zitambeba.😁😁😁yaishe banaSawa japo wewe ni dada, lakini Zuchu akikupa utakataa?
Kujichubua au kutojichubua haimaanishi ndio kuwa mzuri of course halima mdee ajajichubua lakini Hana sura nzuriHajichubui