PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Haka ka zuchu hakana tako yani kamenikwaza sana 😒
Hana tako amekuwa nyoka? 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haka ka zuchu hakana tako yani kamenikwaza sana 😒
Enjoy life, sio kila mda ukomalie mambo ya msingi...Wabongo mambo haya ndy wanapenda
Ukiwaletea mambo ya msingi huwaoni
Ova
Wabongo mambo haya ndy wanapenda
Ukiwaletea mambo ya msingi huwaoni
Ova
Utakufa nacho kijiba cha roho.Sold out wapi lugha ya biashara tu hio
Mastaa kibao wapo invited
#hatermkongwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unangoja nini humu au mangi bado hajafungua
Yaani ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Niaje mshuaaaa niaaajeee mshuaaa unaa bukuu apoooo bongeee la vibee humu WASAfi oyeeeeEnjoy life, sio kila mda ukomalie mambo ya msingi...
Hayoo Mambo ya MSINGI yanamshindaga Trump seuze siye wafuasi wa Zuchu apa mlimani?!!Wabongo mambo haya ndy wanapenda
Ukiwaletea mambo ya msingi huwaoni
Ova
Mambo ya msingi kama yapi?Wabongo mambo haya ndy wanapenda
Ukiwaletea mambo ya msingi huwaoni
Ova
Ulabu tunakunywa kila siku ajabu yke nnMsingi kajengee nyumba, watu wanataka kula ulabu tu wakitoka hapo wakakatikiane.
Ulabu tunakunywa kila siku ajabu yke nn
Hapo lbda mikelele basi
Ova
Kama mimi hata siwezi kulitamka mbele ya watu wa heshimaYaani Hilo jina tu ZUCHU sijui kwa NN silizoei...ZUCHU!hata sielewi
Unaona ajabu hiyo zuchuTofauti hapo gongo haziuzwi kama huko kwenu kwa Mama Semitela.
Mm nlijua zuchu anafungua viwandaaa
Zuchu ni Overrated MC yaani kama Harmorapa.Mm nlijua zuchu anafungua viwandaaa
Na atatoa ajira kama 1000 hvi[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana kila siku zuchu zuchu utafikiri ukikosa utapunguza uhai wa kuishi
Ova
ulidanganywa na naniAsilimia 90 ya watz uenda kwa wataalamu mbona awafanikiwi
dah aise ..! anyway waendelee kumkatikia kiuno mboso kila mtu kwenye maisha ana namna yake ya kuonesha furaha japo yaweza kua aibu lakini ndio hivyo.Hapa namsikiliza Mbosso anaimba lete nchomeke, halafu kuna group la wanaume wako mbele kabisa karibu na steji wamepanga mstari wanakatika vibaya sana.